Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Ahsanteeeh.
 
Mbona mama Kanumba mpaka leo anamlaumu mtoto mdogo Lulu kwa kulisukuma jibaba lililokuwanlimeshikia panga(Likanumba)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
pfunk aache kelele uchwara akaombe ushauri kwa mwenzake masterj ameweza vipi bado hajachelewa
Master Jay watoto zake wamelelewa vizuri na mke wake waliye achana nae.

Huwezi kufananisha akili ya mama watoto wa Master Jay na Kajala ambaye kutwa yupo social network,kila mwanamme anaye date nae anamweka kwenye mitandao,yeye kazi yake haijulikani zaidi ya kudanga.
 
kwenye hii familia hakuna wa kumlaumu mwenzake
baba mwenyewe anajiita majani mama ndo hivyo tena mtoto akili ya kuchanganua mambo hana yaani hakuna wa kumuongoza mwenzake
 
kwenye hii familia hakuna wa kumlaumu mwenzake
baba mwenyewe anajiita majani mama ndo hivyo tena mtoto akili ya kuchanganua mambo hana yaani hakuna wa kumuongoza mwenzake
Kaitizame ile intvw aliyo ifanya Majani Dizzim inaoneka,Majani kila anacho kiongea kuhusu mtoto,Kajala anaona kama anamnyanyasa mtoto na ndio maana alivyo hojiwa alisema yeye kama yeye Paula kisha mshindwa.
 
Kaitizame ile intvw aliyo ifanya Majani Dizzim inaoneka,Majani kila anacho kiongea kuhusu mtoto,Kajala anaona kama anamnyanyasa mtoto na ndio maana alivyo hojiwa alisema yeye kama yeye Paula kisha mshindwa.
Anaongea kwenye mitandao tu.
Interviews na kwenye simu kajaga kushindaga naye hata siku moja kama baba ??
Inaonyesha paula hajapata malezi ya baba .
 
Anaongea kwenye mitandao tu.
Interviews na kwenye simu kajaga kushindaga naye hata siku moja kama baba ??
Inaonyesha paula hajapata malezi ya baba .
Ndio ubaya wa kutengana viongozi wengi wadini hata waislam wenyewe huwa wanaumia wanapoona wazazi wana achana,wanajua malezi ya watoto yanakuwa ni changa moto.
 
Ukiambia peleka wanafunzi, na Paula utampeleka, nyie watu acheni utani. Mtu yoyote anaweza kuwa mwanafunzi. Ila sio mwanafunzi harisi. Kaangali picha zake insta alafu niambie mwanafunzi gani huyo
Hapa ndipo nilipokuona wewe kilaza
 
Hii ishu itakae mtafuna ni vanny boy,binti wa watu still ni mwanafunzi,bila shaka atakua under age,sheria ikifuatwa kaumia...sijui alifikiria nini kupost ile video? any way kwa kua wote ni CCM WATAJUNA WENYEWE.
Hakuna sheria ya inayozungumzia kukis mzee baba

Kubakwa hua kunathibitishwa kitaalamu

Hakuna case hapo
 
Ndio ubaya wa kutengana viongozi wengi wadini hata waislam wenyewe huwa wanaumia wanapoona wazazi wana achana,wanajua malezi ya watoto yanakuwa ni changa moto.
Sasa huoni P funk na Kajala kweli .
Mtoto anapaswa kulelewa kwenye familia yenye baba na mama sio baba tu au mama sasa unaona mapungufu ya malezi ya baba ndio haya mtoto anajiamulia tu.
Halafu kingine kuna mmama aliachana na mmewe huyo mama akaanza kukosa matumizi yaani tokea 5 mpaka 20 mtoto huyo anataka kuuzwa na mamake anakataa mama huyo anamtesa kwa kumtumikisha na alikuwa anakunywa pombe hata kuvuta sigara pia .
Ila huyo mtoto aliweka msimamo hadi niende chuo .
Aliomba nafasi mbali mbali akapata mtu wa kumpeleka chuo kapata udhamini .
Akasoma kwa bidii akawa anajinyima helazake za pocketmoney anamtumia kijana wao ambaye alikuwa mkubwa baada yake.
Na chuo kiliamua kumtunza nakumpatia kazi sasa ni mtu ambaye anafanya kazi UK siwezi ambatanisha picha hapa.
Ila kwa paula hakupenda kuwa na msimamo kuhenyea jambo yeye anataka kupata kirahisi.
Mama sio tatizo tatizo ni yeye hakatai .
 
Mama sio tatizo kweli?Hebu katizame post number 659 niliyo ipost?

Ina maana mpaka sasa huono tatizo la Kajala upande wa malezi?
 
Paula ni mzuri , tena ni mzuri kweli ....Kwa vyovyote vile lazima pressure za Mapenzi zimwandame , hata chuoni tuliwaona na hata maofisini tunawaona hata kama wameolewa wanakuwa under extreme pressure ya wanaume wa Kila Aina from poor man to Billionaire status ,. ...... Kuna wanaume wengi wa kumuoa Paula tena wenye pesa zao hata kama vannyboy akizingua......Kwa mwanamke hcho kikwazo kukivuka sio rahsi na tusimtabirie mabaya Sana mana Mungu ndo anayeongoza maisha ya watu , Nani alijua life style bovu la bi Sandra litamfanya azae kijana millionaire ???? Tusihukumu Sana hvi vitu vipo
 
Kuna kesi ya mshkaji wangu ilikuwa ni mwanafunzi wa Form 4 tena kamaliza anasubiri kwenda form five...!! Jamaa alimpa mimbaa mdada ambae mzee wake ni kauzu balaa maana haya mambo huwa mepesi sana kama wazazi wa mwanamke ni waelewa hata kama yakifika polisi yanaweza kurudi kifamilia mkayamaliza lakini USIOMBE NA SEMA USIOMBEE wazazi wa mtoto wa kikw wakukaziee... jamaa yangu alipigwa miaka 30 hadi leo huwa siamini kabisa nahisi jamaa alionewa lakini No ni wazazi wa yule binti ndo walileta Nongwa. Kwa Rayvany hajampa mimba paula ila ustar wake ndo utamponza.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu nataka unisaidie kwani sheria za Tz zinasemaje,manake kwa UK ukifanya mapenzi na binti wa miaka chini ya 18 ni kosa kisheria ,hili lilimfanya mchezaji wa Stoke City Adam Johnson pamoja na mshahara wake wa pound 100000 per week sasa hivi yupo rumande,baada ya kufanya mapenzi na binti aliyekuwa na miaka 17 aliye mkuta club.

Sasa kwa Tz ina maana hata ukimtia mimba au kufanya nae mapenzi mwanafunzi wa miaka 18 na kuendelea ni kosa kisheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…