Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Sasa huyo mwanao kampa mimba mwanafunz,paula sio mwanafunz..ni private candidate tu ambae akipata matokeo yake anaweza nenda chuo,au kazin au form 5 ili akapate sasa status ya uanafunz...dem alipoteza status ya udent alivyofeli..hapo kuja kuitwa dent tena mpaka apate shule ya form 5 ndio akawe School Candidate...sasa sakata kimemkuta akiwa sio dent

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Vipi wakitengeneza mazingira kuwa alishasajiliwa bado kwenda tu shulee...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Ujue Njomba Nchumali atakuwa kachochea, nafikiri hili swala tayari, Management VanBoy watakuwa washa kaa chini na kuona namna gani wakae kiutu uzima na kifamilia na Paul Mathias. Huku nje wamebaki wapiga zumali wanachochea ukuni
 
Hakuna kitu kama hicho...hapa kweny uanafunz kashafeli...kwanza to be honest yule mtoto kwa maisha anayopenda yabata hana hata mpango wa advance.. pale anawaza akaanze certificate mjini IFM

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Ujue Njomba Nchumali atakuwa kachochea, nafikiri hili swala tayari, Management VanBoy watakuwa washa kaa chini na kuona namna gani wakae kiutu uzima na kifamilia na Paul Mathias. Huku nje wamebaki wapiga zumali wanachochea ukuni
Amini mzee ndo maana nakwambia Haya mambo kama siyo wewe yanakuhusu unaweza chukulia poa tu.. rayvann anaiweka management pagumu sanaa

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Tanzania tunabeza Sana na Tunachukulia Poa Hivi Vitu...Issue ya RayVanny Ingekuwa kwa Wenzetu Angepoteza Vitu Vingi Sana, Deals and Endorsements plus Angekuwa Cancelled kwenye Game.
Serikali pia waangalie hili

Britannica
Menin walivyojirekodi video ile ya utupu
Eti akaja chaguliwa balozi sjui wa nn[emoji23][emoji23][emoji23]
Bongo tunaenda enda tu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Amini mzee ndo maana nakwambia Haya mambo kama siyo wewe yanakuhusu unaweza chukulia poa tu.. rayvann anaiweka management pagumu sanaa

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Sure, 100%. Na hii ngoma ni bora wapitie kwa majani ana akili na busara. Ila sio kwa mama kajala, maana yule mama sasa hivi anaongozwa na chuki za Njomna nchumali
 
Hakuna kitu kama hicho...hapa kweny uanafunz kashafeli...kwanza to be honest yule mtoto kwa maisha anayopenda yabata hana hata mpango wa advance.. pale anawaza akaanze certificate mjini IFM

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Haya mkuu ila kwenye Hilii jua ni zaidi ya Hizo video.. Rayvann anaonekana yupo WCB hapo ndio penyewe hasaa.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…