Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Mamake kasema anasubili kwenda form five
 

Hata huku inabidi achukuliwe hatua kama Rkelly alivyokuwa anavinjandua vitoto.
 
Acheni ujinga.
[emoji117]Paula amefika miaka 18
[emoji117]Paula anasoma kama private candidate,ni elimu ambayo hata ukiwa na miaka 100 utasoma na ni nje ya mfumo rasmi anaweza kusoma hata akiwa na mimba.

Kitu pekee Rayvanny kwake kitampa shida ni kuharibu taswira yake na pia TCRA inaweza kumfungulia kesi ya kuchapisha maudhui ya ngono ila kuhusu miaka 30 hakuna upumbavu wa namna hiyo.
 
Hivi issue ya mwanafunzi sio tena nyuma ya bar miaka 30?

Au sheria ni kwa makapuku.

Eti huyo denti kama hajapata ujauzito hatofukuzwa shule. Kumbe katka nchi yetu shida kwa mwanadunzi sii kufanya ngono ila kuruhusu mimba[emoji15][emoji15]
 
Kwan uyo binti ana miaka mingapi?
 
Kama kuna kitu kinaniumiza roho wiki hii yote basi ni yule mtoto paula wa kajala, nia na madhumuni yangu yote ni kuja siku moja nimuweke hata ndani yule mtoto

Kila nikimuonaga kwenye page yake huyu binti hali inabadilika napataga hisia za ghafla tu na hasa hisia za kuoaoa, yani machoni mwangu kale katoto nakaona kamekamilika kila idara yani kifupi ile ni package, kila mtu na mtazamo wake machoni kwaio tunaweza pia kutofautiana

Sasa tangu majuzi nione zile clip yupo na yule jamaa aisee nakosa raha mwenzenu daah sijui nisemaje, aisee sijui niseme nimekata tamaa sijui niseme namuonea wivu yule jamaa yani sijui nisemaje

Lakini yote juu ya yote yote yatakwisha na nitampata tu na nitamuonga kamshahara kangu kote
 
Man down do u copy
Team alfa man down
I repeat man down do u copy
Team alfa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mtambo wa kuandika threads JF.
Kama kuna kitu kinaniumiza roho wiki hii yote basi ni yule mtoto paula wa kajala, nia na madhumuni yangu yote ni kuja siku moja nimuweke hata ndani yule mtoto...
 
Huyu Kajala ni mpumbavu nini, Mbona yeye anamkomaza viungo mtoto wa watu Harmonize lakini mama yake Harmonize ametulia tuli kama vile hajui kinachoendelea

Kwani Paula na Njomba nchumali si wanalingana tu
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Mama Konde naye akalalamikie wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…