Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Ila hiki kizazi kwakweli ni mtihani.... Yani unachukua simu mpo faragha na mpenzi wako alafu mnaanza kujirekodi mkifanyiana majamboz.....then mnapost mtandaoni
Kwa faida ya nani hasa!! Bora niwe mshamba tu asee
Yaani mi naona wanaerokodi km hawapendaani vile!!maana km unampenda MTU why muanze kurekodiana?!!
 
Kama huamini basi lkn huo ndo ukweli. Alisoma nursery na pre unit akamaliza akiwa na 5. Alipoingia std 1 alikuwa 6yrs, akarushwa mpaka std 3
Wa kwangu ana 7yrs yuko std 3 ameanza na miaka 5 shule!form four atamaliza LA 7 na miaka 11.Ni vitu vya kawaida kwa sasa anabisha nini sasa
 
Kwani Paula mwanafunzi?kamaliza kidato cha nne na matokeo yameshatoka yupo nyumbani tuu.Umri nao yupo zaidi ya19 yrs kimsingi huyo ni chakula kama vyakula vingine.
 

Hawa vijana wengi wanakosa guidance. Sidhani kama atabaki salama kwenye hili alofanya. Nikimuangalia R Kelly, naona huruma sana. Yote aliyofanya miaka kadhaa nyuma, analipia sasa hivi akiwa maskini kabisa. No any legacy. No any happiness. Maisha yetu chini ya jua mtihani sana
 
Aah..kumbe kuna binti mrembo anaitwa Paula, huyo binti ni mtoto wa mwigizaji Kajala aliyezaa na Producer Majani!!

[emoji4]Asanteni kwa taarifa
 
Nilichogundua jf ni tamu sana kwa upande wangu kama sina hela..

Happy valentine wote mnaokojolea patamu
Infact jf ni tamu sana wew hapa hela ya bado tu stress nyingine utamalizia huku,

Hahaha wanaokojolea patamu[emoji847]
 
Watoto wanaanza Shule na miaka minne grade one unashangaa miaka mitano kuanza darasa la kwanza haiwezekani? Vitu vya kawaida kwa international schools
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…