Poleeeeeh bhanaah, ila mie nataka muamala usome kwangu, kuhusu kushindwa na kushinda hilo sakata lenu sitaki kusikia.[emoji3][emoji3][emoji3] Hatujawah kushindwa bhana
Wakati wa tobaaah huu.Ni mtindo mpya wa ibada
Wapo nje kwa dhamana haoPaula kamaliza mchezo [emoji3][emoji3][emoji3]
View attachment 1704427
Duuuuh inaogopesha mnooh lolKijazi humjui , nimekwambia uvae barakoa jaman ooh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaahWeka bas avatar yenye chura ...hyo picha kama mzimu bhanaaaa
Mtajuana wenyeweHakuna sheria ya inayozungumzia kukis mzee baba
Kubakwa hua kunathibitishwa kitaalamu
Hakuna case hapo
Hawawezi rudi nyuma wanapenda kiki kuongelewa mitandaoni.Misingi ya malezi, ikishakuwa mibaya kuanzia kwa mama, kupata mtoto ambae atakuwa smart ni neema za Mungu. Ni mala chache sana ukute mzazi kapinda alafu mtoto kanyooka ni nadra kuikuta hii, ingawa hutokea. Paula alifeli na kukosa sifa za kuwa Gvt student. Hawaja chelewa sana, katika malezi yake kama wazazi wake wata rudi nyuma , ila kama wanaona kurudi nyuma haiwezekani, basi ndio ntoleo huyo binti
Kwa tafsiri ingine, wamekubali kuharibu hatma ya mwanao wenyewe, na hawampendi mtoto. Kama wangekuwa wana mpenda wangekubali ku lose ya dunia na kumjenga mwanaoHawawezi rudi nyuma wanapenda kiki kuongelewa mitandaoni.
Panya inabidi tumle tu πππ¬Huyo tunakula naye sahani moja, huyo mbna wa kwetuππππ
Like limakonde Ni la ovyo sanaKumbe lisenge sana hilo senge harmonize..
Siku nyingine mtoto wa kiume ukiwa mmbeya kama huyo na kiherehere cha kike nashauri apigwe mbupu tu.
πππ sarakasi zao zina mwisho. Wanatunishiana misuriMasaa 12 yamepita kajala hajaomba msamaha kwa hamisa..atakuwa amejipanga huyu mama mtu