Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

[emoji3][emoji3][emoji3] Hatujawah kushindwa bhana
Poleeeeeh bhanaah, ila mie nataka muamala usome kwangu, kuhusu kushindwa na kushinda hilo sakata lenu sitaki kusikia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabla ya kubisha au kusema chochote kwanza tungalie maisha ya Kajala, wadhani mtoto wake wa kike mwenye miaka 20 atakuwa na tabia gani??!!!
 
Misingi ya malezi, ikishakuwa mibaya kuanzia kwa mama, kupata mtoto ambae atakuwa smart ni neema za Mungu. Ni mala chache sana ukute mzazi kapinda alafu mtoto kanyooka ni nadra kuikuta hii, ingawa hutokea. Paula alifeli na kukosa sifa za kuwa Gvt student. Hawaja chelewa sana, katika malezi yake kama wazazi wake wata rudi nyuma , ila kama wanaona kurudi nyuma haiwezekani, basi ndio ntoleo huyo binti
Hawawezi rudi nyuma wanapenda kiki kuongelewa mitandaoni.
 
Weka bas avatar yenye chura ...hyo picha kama mzimu bhanaaaa
Okwaaa Hziyech22 mnaona panya lakini..

Screenshot_20210218-071804_Instagram.jpg
 
Masaa 12 yamepita kajala hajaomba msamaha kwa hamisa..atakuwa amejipanga huyu mama mtu
 
Back
Top Bottom