P funk majani namfaham sana, japo kila MTU ana mapungufu yake lakini he is family man na anajali heshima sana kuliko kitu kingine, pia legacy yake katika nchi hii, sasa fikiria MTU anaharibu legacy yako kiasi hiki ..namvyomfaham hawezi kuacha hili, Ndio mana nasema hii itakuja kuback fireSidhani kama Majani ataacha hili lipite. Labda kama alishamtupa huyu mtoto mazima. Hata hivyo lazima aumie..
Mtoto mama yake kamwingiza kwenye media na ustaa badomdogo sasa yamemkolea.....ilionekana mapema kabisa mama yake anamharibu .Mtoto nae wakulaumiwa, amejaaliwa kishuzi kama cha Khumbu wa konda msafi halafu nguo anazovaa yule mtoto ni msiba kweli kweli.
Mama yake alimwinguza kwenye media bado mdogo...kauvaa ustaa bado mbichi sasa matikeo yake ndo hayaKupitia wimbo wake wa Valentine , Rayvanny aka Vany boy mtu mbaya ,amedai mpenz wake mpya huyo yupo kama mzungu na ana asili ya Mwanza , hvyo yupo tayar kutoa mahar Kwa Mzee masanja .....
Hata hvyo chanzo cha habar kimenyetishwa kuwa Paula kafa kaoza Kwa Vanyboy mtu mbaya .... Na yupo tayar liwalo na liwe Kwan anamzimikia Sana nyota huyo wa My number one....
Tunaendelea kufatilia Kwa ukarbu hili swala , stay tuned
View attachment 1702373
Msanii Kajala Masanja ameibuka na kuitaka serikali iwachukulie hatua Hamisa Mobetto na Rayvanny kwa kumnywesha pombe binti yake aitwaye Paula na kisha kumrekodi video kuashiria yupo katika mahaba na Rayvanny. Awali zilivuja mtandaoni video zilizoonesha Rayvanny na Paula wakiwa katika penzi zito.
Kajala amedai siku ya tukio Hamisa alimuomba Kajala atoke na Paula wakatembee kumbe alikuwa na ajenda ya siri, alimchukua Paula na kwenda naye kwa Rayvanny ambapo walimnywesha pombe na Kisha kumrekodi kipande cha video chenye maudhui ya mapenzi mazito.
Punde baada ya kipande hicho cha video kuachiwa mtandaoni Rayvanny aliachia kipande cha wimbo kilichotafsiriwa Kama wimbo kwa ajili ya Paula.
Kitendo hicho kimetafsiriwa na wataalamu wa mambo Kama kiki ili tu Rayvanny naye apate kutrend hasa ikizingatiwa kuwa mama yake na Paula yaani Kajala anatoka na Harmonize.
Lakini je nini hatima ya sokomoko hili endapo mamlaka za serikali zikiingilia kati kuitikia wito wa Kajala anayedai binti aliyenyweshwa pombe ni mwanafunzi na mwenye umri mdogo?
Je hili halitamtia Rayvanny matatani kumnywesha pombe binti wa miaka 17 tena mwanafunzi na kumrekodi? View attachment 1702362View attachment 1702363
Hata Kama anampenda kwa sheria za nchi zina muingiza rayvany matatizoni ndio maana mtu Kama alikiba alikuwa anapita na lulu kimya kimya lulu alipokuwa anayangaza kwa watu alikiba alivyokuwa anaulizwa alikuwa anakataa kwa sababu anajua kuwa sheria inaweza kumfungaHapo nyuma huyu binti alikuwa anajirekod nyimbo za Rayvanny , Vanboy anazipost insta , kiufupi Paula anampenda Vannyboy....
Wanataka kumchafua Tu mtu mbaya ,
Mama yake anahusuka kumharibu mtoto...mtoto yupo kwenye media ambazo zimemzidi akili...kila siku mama yake anamfanya Paula kua kiki sasa yamemfika hayo......Paula aneshakua celebrity so mambo mengi hawezi controlNamsikiliza hapa redion P Funk Majani kuhusu inshu ya mwanae aisee jamaa katoa povu ile mbaya.
Kasema akikutana na Rayvanny nchi hii haitasahau atakachomfanyia dogo kitu pekee kitakachomuweka dogo salama ni yeye ( Majani) kuwekwa ndani na Sirro asipewe lawama sana. Kadai hataki interview nyingine na viblogu uchwara. Aisee jamaa kaongea kwa uchungu.
Wakku tunamsaidiaje Rayvanny?
Mmesema alifeli form 4, sasa fomu faivu anakwenda kwa usafiri gani?Mama yake kasema mwezi wa sita Paula anaenda form five.
Hilo swali tumwulize kajala mkuu labda ana undugu na necta😆😆😆Mmesema alifeli form 4, sasa fomu faivu anakwenda kwa usafiri gani?