Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Wazee ila maji hufuata mkondo...yeye kama mama anapiga picha za hivi mtoto afanye nini?
1613304787380.jpg
 
Sidhani kama Majani ataacha hili lipite. Labda kama alishamtupa huyu mtoto mazima. Hata hivyo lazima aumie..
P funk majani namfaham sana, japo kila MTU ana mapungufu yake lakini he is family man na anajali heshima sana kuliko kitu kingine, pia legacy yake katika nchi hii, sasa fikiria MTU anaharibu legacy yako kiasi hiki ..namvyomfaham hawezi kuacha hili, Ndio mana nasema hii itakuja kuback fire
 
Kupitia wimbo wake wa Valentine , Rayvanny aka Vany boy mtu mbaya ,amedai mpenz wake mpya huyo yupo kama mzungu na ana asili ya Mwanza , hvyo yupo tayar kutoa mahar Kwa Mzee masanja .....

Hata hvyo chanzo cha habar kimenyetishwa kuwa Paula kafa kaoza Kwa Vanyboy mtu mbaya .... Na yupo tayar liwalo na liwe Kwan anamzimikia Sana nyota huyo wa My number one....

Tunaendelea kufatilia Kwa ukarbu hili swala , stay tuned

Huyu mama nae mpuuzi!!

Kesi kama hizi zikitokea unatakiwa ukae kimya jinsi unavyoongea tena kwenye mitandao ndio jinsi unafanya waitafute!!

Hata mimi nlikua sijui kama kuna hii kitu, baada ya kusoma hii posti nimejikuta naitafuta!!

Mshaurini akae kimya pia aangalie ni wapi anakosea kwenye malezi ya mwanae..
 
Namsikiliza hapa redion P Funk Majani kuhusu inshu ya mwanae aisee jamaa katoa povu ile mbaya.
Kasema akikutana na Rayvanny nchi hii haitasahau atakachomfanyia dogo kitu pekee kitakachomuweka dogo salama ni yeye ( Majani) kuwekwa ndani na Sirro asipewe lawama sana. Kadai hataki interview nyingine na viblogu uchwara. Aisee jamaa kaongea kwa uchungu.
Wakku tunamsaidiaje Rayvanny?
 
Mtoto nae wakulaumiwa, amejaaliwa kishuzi kama cha Khumbu wa konda msafi halafu nguo anazovaa yule mtoto ni msiba kweli kweli.
Mtoto mama yake kamwingiza kwenye media na ustaa badomdogo sasa yamemkolea.....ilionekana mapema kabisa mama yake anamharibu .
Kuna kipindi ilivuja clip ikisemekana Paula analiwa mzigo sasa imekuja hii
 
Kupitia wimbo wake wa Valentine , Rayvanny aka Vany boy mtu mbaya ,amedai mpenz wake mpya huyo yupo kama mzungu na ana asili ya Mwanza , hvyo yupo tayar kutoa mahar Kwa Mzee masanja .....

Hata hvyo chanzo cha habar kimenyetishwa kuwa Paula kafa kaoza Kwa Vanyboy mtu mbaya .... Na yupo tayar liwalo na liwe Kwan anamzimikia Sana nyota huyo wa My number one....

Tunaendelea kufatilia Kwa ukarbu hili swala , stay tuned

View attachment 1702373
Mama yake alimwinguza kwenye media bado mdogo...kauvaa ustaa bado mbichi sasa matikeo yake ndo haya
 
Msanii Kajala Masanja ameibuka na kuitaka serikali iwachukulie hatua Hamisa Mobetto na Rayvanny kwa kumnywesha pombe binti yake aitwaye Paula na kisha kumrekodi video kuashiria yupo katika mahaba na Rayvanny. Awali zilivuja mtandaoni video zilizoonesha Rayvanny na Paula wakiwa katika penzi zito.

Kajala amedai siku ya tukio Hamisa alimuomba Kajala atoke na Paula wakatembee kumbe alikuwa na ajenda ya siri, alimchukua Paula na kwenda naye kwa Rayvanny ambapo walimnywesha pombe na Kisha kumrekodi kipande cha video chenye maudhui ya mapenzi mazito.

Punde baada ya kipande hicho cha video kuachiwa mtandaoni Rayvanny aliachia kipande cha wimbo kilichotafsiriwa Kama wimbo kwa ajili ya Paula.

Kitendo hicho kimetafsiriwa na wataalamu wa mambo Kama kiki ili tu Rayvanny naye apate kutrend hasa ikizingatiwa kuwa mama yake na Paula yaani Kajala anatoka na Harmonize.

Lakini je nini hatima ya sokomoko hili endapo mamlaka za serikali zikiingilia kati kuitikia wito wa Kajala anayedai binti aliyenyweshwa pombe ni mwanafunzi na mwenye umri mdogo?

Je hili halitamtia Rayvanny matatani kumnywesha pombe binti wa miaka 17 tena mwanafunzi na kumrekodi? View attachment 1702362View attachment 1702363

Mabeto ni Dalali tu hapo kamuunga Paula na Rayvanny ,ila Hapo wote wana makosa MAbEtO na Ray ni wa kufungwa tu hakuna namna.

Ila Whats goes around comes Around ..Pfunky alikuwa anakula kabinti kanafunzi(KAJALA) na yeye imemrudia kwa PAULA.
 
Hapo nyuma huyu binti alikuwa anajirekod nyimbo za Rayvanny , Vanboy anazipost insta , kiufupi Paula anampenda Vannyboy....

Wanataka kumchafua Tu mtu mbaya ,
Hata Kama anampenda kwa sheria za nchi zina muingiza rayvany matatizoni ndio maana mtu Kama alikiba alikuwa anapita na lulu kimya kimya lulu alipokuwa anayangaza kwa watu alikiba alivyokuwa anaulizwa alikuwa anakataa kwa sababu anajua kuwa sheria inaweza kumfunga
 
Namsikiliza hapa redion P Funk Majani kuhusu inshu ya mwanae aisee jamaa katoa povu ile mbaya.
Kasema akikutana na Rayvanny nchi hii haitasahau atakachomfanyia dogo kitu pekee kitakachomuweka dogo salama ni yeye ( Majani) kuwekwa ndani na Sirro asipewe lawama sana. Kadai hataki interview nyingine na viblogu uchwara. Aisee jamaa kaongea kwa uchungu.
Wakku tunamsaidiaje Rayvanny?
Mama yake anahusuka kumharibu mtoto...mtoto yupo kwenye media ambazo zimemzidi akili...kila siku mama yake anamfanya Paula kua kiki sasa yamemfika hayo......Paula aneshakua celebrity so mambo mengi hawezi control
 
Back
Top Bottom