Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Kwani baba wa kufikia wa Paula konde boy anazungumziaje ilo jambo Mimi naona kajala ajaribu kuongea na harmonize amtungie rayvanny diss track Tena hiyo nyimbo aweke hichi kipande kwenye nyimbo"rayvanny nimeondoka wcb ila bado unanifatafata nakwambia unachokitafuta utakipatapata"ndo hayo tu jamani happy valentine
 
H

Mbona yeye alianza kumchakata kajala akiwa 4m 2 which is better ambaye ameanza kuchakata baada ya mtot kumaliza shule au ??[emoji38][emoji38][emoji38]
Hiyo haijustify yeye kukaa kimya..
Ujue ana malengo yake kwa binti yake

Kama baba kajala alikua kimya binti anaharibika ndo na yeye akae kimya?
 
Swala sio kuliwa.ishu ni kumrekodi.mimi najua dada zangu wanaliwa na simaindi lakini akitokea akamrekodi wakiwa faragha aisee nitadili nae ipasavyo.
 
Aaaarrgghh , Ni ngumu kwa Mwanamke maarufu tena msanii, Kua na mtoto wakike ambaye et atatofautiana naye kimaisha

Nyoka huzaa nyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Sema nn..... Rayv wenu huyo KAZENGUA SANA.


ALAFU NI USHAMBA SANA, KUMBE HIZ VIDEO HUWA WANAZIREKODI WENYEWE, NA KUWATUMIA WATU, ILI WAZIVUJISHE ???.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Ki-kiki ni faida kwa RayV, ila kimaisha, Kamharibia huyu mtoto.
 
Wameona rayvany kala ndio saizi wanalera habari za paula kuendelea sekondari form 5 mwezi wa 6, kwamba bado ni mwanafunzi.

Rayvanny ajipange, kanasa mtegoni.
 
Huyo dogo mbona nasikia ni 21

Kisheria hii ipo je?? Ikumbukwe alipata zero form 4 kwa hiyo sio mwanafunzi tena
Hata kama sio mwanafunzi,kama umemnywesha akalewa na ukatake advantage bila ridhaa yake,huo ni ubakaji,,mvua zinahusika hapo...
 
Issue ni ushahidi, mara nyingi ushahidi unakosekana na unakuta binti anamlinda jamaa hadi mahakamani.

Ila uombe ushahidi wenyewe usiwe wa mimba, hapo ni kwishney
 
Hiyo haijustify yeye kukaa kimya..
Ujue ana malengo yake kwa binti yake

Kama baba kajala alikua kimya binti anaharibika ndo na yeye akae kimya?
Ukiambiwa uking'ata mwenzio panauma huelewi subiria nawe wakung'ate huenda ukaelewa. Hiz feeling anazozipata right now ndizo alizipata baba kajala kipindi hichooo. Tena bora vanny kaanza baada ya kuona mtot kafel shule but yy majani alianza wakat ka kajala kapo 4m 2🤣🤣🤣
Ningekuwa rayvanny muda huu ningeenda kumfungulia kesi ya kunitishia kuua 😁😁
 
Under 18 hana uwezo wa kuconsent kisheria.
 
Hakuna kitu, maneno tu na haya yatapita pia
 
If the girl is above 18 huyo lunyasi atakua mpuuzi

But if the girl is below 18 then majani can have a case to be mad
 
Anataka amle mwenyewe au? Samaki mkunje angali m'bichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…