Kama walimrubuni wakamnywesha pombe
1.kwa Nini hakukataa?
2.kwa Nini asinge run away from them,hakua na nauli?
3.je alikuja shitaki kwako Kama mama yake?
4.kama hakulalamika au hakushitaki kwako,maana yake aliridhia
5.baada ya tukio,Kama alishitaki kwako,wewe Kama mama ulichukua hatua zozote dhidi Yao?
6.kama hukuchukua,kwa Nini?
7.kwa Nini usubiri mpaka video zivuje ndo uombe msaada wa serikali? Kwa Nini uingeomba msaada kipindi tu baada ya tukio kutokea,umesubiri video zivuje ndo ulalamike?
8.kama ni Mimi,wewe kajala nakutia hatiani,na mwanao hatiani na hao hatiani.
Umesikia wewe jimama?
Halafu Kama ndo Niko kwenye ob pale,nadhani polisi mnajua ob, lazima nichukue Mimi hii kesi,na sikuachi ntakukula tu[emoji38][emoji38][emoji38] zigo lite Hilo nikuache[emoji15][emoji15] mama maeeeee! Satan anaweza nitenga kabisa kwenye ufalme wake.
Kajala,jibu maswali hayo kwanza, ili tuendelee ,zigo la kuvunja chaga hilo