Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Kwani baba wa kufikia wa Paula konde boy anazungumziaje ilo jambo Mimi naona kajala ajaribu kuongea na harmonize amtungie rayvanny diss track Tena hiyo nyimbo aweke hichi kipande kwenye nyimbo"rayvanny nimeondoka wcb ila bado unanifatafata nakwambia unachokitafuta utakipatapata"ndo hayo tu jamani happy valentine
Nasikia Njomba chumari wame team up na P funky majani wanamsaka Ravinyna nyumba kwa nyumba,
Ravina mwenye kajificha kwamtogole
 
Huyu ravina atakula mvua 40,watu wakikomaa,huwezi ukabaka mwanafunzi na ubaki salama,,
Run Ravina run now...
Ukiona hiyo video inaonesha kabisa Paula ndio anamkiss Rayvanny Tena na tabasamu juu so hapo inaonesha mtoto kaelewa show ajalazimishwa
 
Ni shule gani hiyo ilimchukua mwanafunzi aliepata zero form 4 tuanze nayo kwanza kabla ya rayvanny
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tuanze na shule
 
Msanii Kajala Masanja ameibuka na kuitaka serikali iwachukulie hatua Hamisa Mobetto na Rayvanny kwa kumnywesha pombe binti yake aitwaye Paula na kisha kumrekodi video kuashiria yupo katika mahaba na Rayvanny. Awali zilivuja mtandaoni video zilizoonesha Rayvanny na Paula wakiwa katika penzi zito.

Kajala amedai siku ya tukio Hamisa alimuomba Kajala atoke na Paula wakatembee kumbe alikuwa na ajenda ya siri, alimchukua Paula na kwenda naye kwa Rayvanny ambapo walimnywesha pombe na Kisha kumrekodi kipande cha video chenye maudhui ya mapenzi mazito.

Punde baada ya kipande hicho cha video kuachiwa mtandaoni Rayvanny aliachia kipande cha wimbo kilichotafsiriwa Kama wimbo kwa ajili ya Paula.

Kitendo hicho kimetafsiriwa na wataalamu wa mambo Kama kiki ili tu Rayvanny naye apate kutrend hasa ikizingatiwa kuwa mama yake na Paula yaani Kajala anatoka na Harmonize.

Lakini je nini hatima ya sokomoko hili endapo mamlaka za serikali zikiingilia kati kuitikia wito wa Kajala anayedai binti aliyenyweshwa pombe ni mwanafunzi na mwenye umri mdogo?

Je hili halitamtia Rayvanny matatani kumnywesha pombe binti wa miaka 17 tena mwanafunzi na kumrekodi? View attachment 1702362View attachment 1702363
Kajala naye wale wale.

Hivi unaacha mwanao anaenda kutembea na shangingi la mjini matarajio yako ni nini ??

Alifikiri anampeleka misikitini au kanisani.
 
Huyu ravina atakula mvua 40,watu wakikomaa,huwezi ukabaka mwanafunzi na ubaki salama,,
Run Ravina run now...
Issue ya kubaka ni ngumu kuithibitisha maana muda mrefu umepita tangu tukio hilo la wao kukutana. Pili hatujui kama kweli walifanya ngono...tatu huyo binti si mwanfunzi kwa sasa ni raia wa kawaida ambaye amevuka 18 years...anakuwa mwanafunzi tu pale akijiunga na kidato cha 5 kama asemavyo mama yake...
 
Huyu ravina atakula mvua 40,watu wakikomaa,huwezi ukabaka mwanafunzi na ubaki salama,,
Run Ravina run now...
Alishamaliza shule na alijitahidi kupata division 0. All in all kama hii habari ni ya kweli nimemchukia sana Hamisa Mobeto.
 
Nasikia Njomba chumari wame team up na P funky majani wanamsaka Ravinyna nyumba kwa nyumba,
Ravina mwenye kajificha kwamtogole
Na Pfunk huwa hataki mchezo na watoto wake. Atamnyonya mavi huyo msafwa🤣🤣🤣
 
Nimeumia kama mama mwenye watoto wa kike na kiume, nna uhakika Kajala pia anaumia... hakuna mama angependa mwanae apitie magumu aliyopitia yeye

Anachopitia P.Funk sasa ni kile alichowapitisha wazazi wa Kajala wakati Kajala akiwa na umri sawa Paula alionao sasa





Hakuna kitu utakachofanya kiwe kizuri au kibaya kisikurudie

Mungu amnusuru huyu mtoto. Bado ni mdogo sana kwa vitu hivi tena kwenye mitandao


Sioni haja ya kuhalalisha au kumlaumu yoyote kwa kilichotokea ila Future ya huyu mtoto tayari ishaanza kuvurugika
 
Nimeona habari na video mitandaoni zikisema Rayvanny ana mahusiano ya kimapenzi na Paula mtoto wa kajala. Nijuavyo ni kuwa Paula alifeli form four wazazi wake wakamrudisha shule akawa anarisiti huku anasoma five na six, hivyo habari hizi za rayvanny zimenishtua kidogo. Vipi Paula ameacha shule? Na Kama bado anasoma kudate wanafunzi ni kosa linaloweza kumpeleka mtu jela miaka 30.

Na hata Kama ameacha shule bila shaka atakuwa underage huyo Paula ambapo pia ni statutory rape chini ya sheria kutembea na msichana chini ya miaka 18.

NB: Mamlaka zilifuatilie hili swala na ikibainika Kuna jinai zichukue hatua stahiki, yaani sheria ifuate mkondo wake wasanii ni vioo vya jamii hivyo wanapaswa kuwa wa mfano wa kuigwa, watoto waachwe wasome kwanza.


Yaani mtu kamaliza form 4 miaka miwili nyuma kama sikusei mpaka Leo asivuke miaka 18 haiwezekani.
 
Back
Top Bottom