Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Je aliwahi kumrecord?
Teknolojia za miaka hiyo ndiyo hivyo tena. Ila hiyo ya kumrekodi kwa kweli imeenda mbali sana. Ila Pfunk ni mtoto wa mjini. Rayvanny ametengeneza soo kubwa ya hatari. Atume tu watu wa heshima wakaongee na Majani. Tofauti na hapo ninakiona kisasi kikubwa kinakuja
 
Suala ni kumrecord kuliwa mbona P anajua kapisa kabisa kama mwanae analiwa.
 
Namsikiliza hapa redion P Funk Majani kuhusu inshu ya mwanae aisee jamaa katoa povu ile mbaya.
Kasema akikutana na Rayvanny nchi hii haitasahau atakachomfanyia dogo kitu pekee kitakachomuweka dogo salama ni yeye ( Majani) kuwekwa ndani na Sirro asipewe lawama sana. Kadai hataki interview nyingine na viblogu uchwara. Aisee jamaa kaongea kwa uchungu.
Wakku tunamsaidiaje Rayvanny?
Hiyo mikwala tu...smart boyz hawanaga kelele kabisa...

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Kajala asitafute mbuzi wa kafara. Huo mzigo ni wake yeye ndio mwanzo wa mambo yote yanayotokea kwa binti yake. Na rayvanny naye sheria ichukue mkondo wake iwe mfano kwa wanaume wote wenye tabia kama hiyo.
Yani kaona mzigo amtupie Mabetto...!! Hatarii sanaa haya mambo

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
hii ni mbinu CHAFU ya wasafi na genge lao lile likiongozwa na boya nasibu nyange , kwakua wameona harmonize alikua anatrend zaidi ya wiki sasa na ana nyimbo mpya inakuja, wakaona sasa ngoja watumie mbinu chafu ya kutembea na mtoto wa kajala ambaye harmonize ana date naye, harmonize kua in love na kajala sio kosa na wote ni watu wazima, sasa wao wakaona ngoja tumkomeshe kwa kutembea na binti yake.. mbinu hio hawakujali kua hata kama itawaharibu profile mtoto mdogo kama paula, na wazazi wake, wao lengo lao ilikua ni kuharibu Kabisa trend ya harmonize sababu ya chuki kubwa waliyonayo kwake , japo wamefanikiwa lakini hii itakuja ku backfire vibaya sana ...Mimi ningekua Ndio baba wa huyo mtoto japo kama mzazi naelewa kadhia hii mbaya nisingejali kama ni nasibu wala nani amehusika, ningehakikisha chain yote iliyohusika naimaliza yote , either wafe au waende gerezani.

We jamaa una hasira kama umebanduliwa wewe. Khaa!
 
Teknolojia za miaka hiyo ndiyo hivyo tena. Ila hiyo ya kumrekodi kwa kweli imeenda mbali sana. Ila Pfunk ni mtoto wa mjini. Rayvanny ametengeneza soo kubwa ya hatari. Atume tu watu wa heshima wakaongee na Majani. Tofauti na hapo ninakiona kisasi kikubwa kinakuja
Ivi huyo majani ana nini ? Rayvanny kamla kama wanavyo kula mafala wengine, sema V boy star ndio imevuma. Paula sio bikra
 
Namsikiliza hapa redion P Funk Majani kuhusu inshu ya mwanae aisee jamaa katoa povu ile mbaya.
Kasema akikutana na Rayvanny nchi hii haitasahau atakachomfanyia dogo kitu pekee kitakachomuweka dogo salama ni yeye ( Majani) kuwekwa ndani na Sirro asipewe lawama sana. Kadai hataki interview nyingine na viblogu uchwara. Aisee jamaa kaongea kwa uchungu.
Wakku tunamsaidiaje Rayvanny?
Atulie tu mbona na yeye alikula sana watoto wa watu enzi zake?!
 
Namsikiliza hapa redion P Funk Majani kuhusu inshu ya mwanae aisee jamaa katoa povu ile mbaya.
Kasema akikutana na Rayvanny nchi hii haitasahau atakachomfanyia dogo kitu pekee kitakachomuweka dogo salama ni yeye ( Majani) kuwekwa ndani na Sirro asipewe lawama sana. Kadai hataki interview nyingine na viblogu uchwara. Aisee jamaa kaongea kwa uchungu.
Wakku tunamsaidiaje Rayvanny?
Kafanya intavyuu wapi?
 
Teknolojia za miaka hiyo ndiyo hivyo tena. Ila hiyo ya kumrekodi kwa kweli imeenda mbali sana. Ila Pfunk ni mtoto wa mjini. Rayvanny ametengeneza soo kubwa ya hatari. Atume tu watu wa heshima wakaongee na Majani. Tofauti na hapo ninakiona kisasi kikubwa kinakuja

Wasanii wa siku hizi wanatembea na mabaunsa, sio wale wa enzi za kina Juma Nature unaweza kuwaokota tu kwenye vibanda vya gongo
 
Nani kakuambia lazima umalize form four na miaka 17 au 18? Siku hizi watoto miaka 15 au 16 wanamaliza form four, hiyo 18 ni enzi zetu ambapo tulikuwa tunaanza shule na miaka 9 au 10 ukipiga mahesabu ndo utapata form four 18, lakini hawa wanaanza standard 1 na miaka 5 piga hesabu 5+7+4=16
siyo kweli hiyo
 
Back
Top Bottom