hii ni mbinu CHAFU ya wasafi na genge lao lile likiongozwa na boya nasibu nyange , kwakua wameona harmonize alikua anatrend zaidi ya wiki sasa na ana nyimbo mpya inakuja, wakaona sasa ngoja watumie mbinu chafu ya kutembea na mtoto wa kajala ambaye harmonize ana date naye, harmonize kua in love na kajala sio kosa na wote ni watu wazima, sasa wao wakaona ngoja tumkomeshe kwa kutembea na binti yake.. mbinu hio hawakujali kua hata kama itawaharibu profile mtoto mdogo kama paula, na wazazi wake, wao lengo lao ilikua ni kuharibu Kabisa trend ya harmonize sababu ya chuki kubwa waliyonayo kwake , japo wamefanikiwa lakini hii itakuja ku backfire vibaya sana ...Mimi ningekua Ndio baba wa huyo mtoto japo kama mzazi naelewa kadhia hii mbaya nisingejali kama ni nasibu wala nani amehusika, ningehakikisha chain yote iliyohusika naimaliza yote , either wafe au waende gerezani.