Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
- Thread starter
- #421
Na ninachojua Paula kapambana mno kumpata Vanboy , anampenda kikuzi , kila wimbo wa vannyboy ukitoka binti anajirekodi anaituma Kwa vanny boy , mtu mbaya anitupia insta ni mda sasa Zaid ya miaka miwili kanafanyaga hvo ..... Mwisho jamaa ameona isiwe taabu π€£π€£π€£ katoto kamerelax kabisa kanamuita ooh my Dady I love you π€£πΆ Van boy mtu mbayaaaaaaaaaAnanyota ya kupendwa na pisi kali, mie ningekuwa Vboy kale ka Nana ningelala nako mbele aseee ππ.. pia uzuri wa πππ hana tabia za umalaya wa waziwazi na uenda akawa hana kabisa