Uchaguzi 2020 RC Chalamila: Mitandao ya kijamii kutoweka hewani hakuhusiani na uchaguzi, huwa inatokea wakati wowote

Uchaguzi 2020 RC Chalamila: Mitandao ya kijamii kutoweka hewani hakuhusiani na uchaguzi, huwa inatokea wakati wowote

RC Chalamila amesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.

Maendeleo hayana vyama!
Ni mjinga tunampuuza kama tunavyowapuuza wajinga wengine walamba viatu wa Lumumba
 
We shenzi kabisa!! mi nalingana mamaako!! uwe na hesima! Sote ni mwenye nchi!! Kama wewe uhalali wako umemkabizi mwenyekiti wako sawa!

[emoji2305][emoji2305][emoji13][emoji13][emoji13] kwani wewe ni ke? [emoji2305][emoji2305][emoji2305] wahi umpigie kura mgombea wako acha kelele... mwishoni mshindi anajulikana kwa Tz huu ni mchakato tu km michakato mingine [emoji38][emoji38][emoji38]
 
KITENDO CHA SERIKALI YA CCM MPYA KUZIMA MITANDAO NI ISHARA KUWA KAMA WAKIJIRUDISHA MADARAKANI TENA TANZANIA TUNARUDI KWENYE ENZI ZA UJIMA. TUKATAE USHAMBA HUU KWA KUIKATAA CCM NA MAMBO YAKE YA KISHAMBA
 
RC Chalamila amesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.

Maendeleo hayana vyama!

Amechanganyikiwa huyo, hofu ya kupoteza ulaji wake.
 
Mim swali langu kubwa kwa hawa, kwan nilazima waongee.kama wanakosaga hoja mengine waachane yapite
 
RC Chalamila amesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.

Maendeleo hayana vyama!

Uliokotwa jalalani, anza kuomba kazi nyingine Kama umesoma vizuri na Kama una uzoefu.waliokuweka kaxini leo hatatawaajiri Tena,tumeshaanza kuwaonyesha kuwa sisi ndio tulikuwa tumewaajiri. Sasa tunasitisha ajira zao
 
Back
Top Bottom