RC Chalamila: Mkiendelea kuchanganya Dini na Siasa huko mbele patatokea mtawala atakayeamua kufunga makanisa yote na hamtamfanya chochote!

RC Chalamila: Mkiendelea kuchanganya Dini na Siasa huko mbele patatokea mtawala atakayeamua kufunga makanisa yote na hamtamfanya chochote!

Kwanini wao wanachanganya serikali na ccm na huku wanajua kiongozi wa serikali kachaguliwa na watu wote wenye vyama na wasio na vyama.Wanaona ni sahihi kiongozi wa serikali kufanya kazi za serikaki akiwa amevaa manguo ya vyama.
 
Hivi alifikaje kwenye hilo Kanisa? Hivi kuna mtu anaalika hili jamaa kwenye shughuli ya Dini?
Tatizo makanisa yanajikomba Sana kwa Wana siasa. Jumapili iliyopita alikuwa kwenye kanisa la sloam.
 
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi

Eti baada ya kuruhusiwa...

Hawa jamaa sijui huwa wanajipata kina nani...
 
RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia

Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote

Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali

Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi

Nawatakia Sabato Njema [emoji3][emoji3]
Thubutu!
 
Maana yake dini na siasa zikichanganywa kutakua na matabaka mawili yaani waislam na wakristo maana ndio dini kubwa hapa tz
Mkristo akiingia madarakani bhc atakandamiza uislam na pia muislam akiingia madarakani nae atafanya hivo hivo
Xx hamuoni huo ni ukweli?
Mbona unakwepa ukweli?. Acha kupotosha. Yeye kadai Wana uwezo wa kufungia makanisa.
 
HOTUBA YA CHALAMILA

15 September 2023
Dar es Salaam, Tanzania

Kongamano hilo lilifanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuwakutanisha Wachungaji wa Kanisa hilo kutoka mikoa ya Dar es Salaan na Pwani, ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ndiye aliyekuwa mgeni rasmi

View: https://m.youtube.com/watch?v=rfl9ynf-Tg8

TOKA MAKTABA
Nyerere akihutubia kanisa na ukombozi dhidi ya dhulma na unyonyaji pia dhima ya kuleta usawa kupitia liberation theology kutoka latino Amerika katika mapinduzi ya kuleta maendeleo ya watu na kupinga ukandamizaji

JULIUS NYERERE Former President of Tanzania Speech in Nicaragua in 1988

15 September 2023

HOTUBA YA ASKOFU MKUU TAG, DK. MTOKAMBALI KWA MKUU WA MKOA WA DSM, KWENYE KONGAMANO LA WACHUNGAJI DAR

View: https://m.youtube.com/watch?v=1RcXWCJM2qw

Askofu Dkt. Mtokambali kanisa la TAG tumepanga kuibua viongozi wapya 35,000 na makanisa mapya ya TAG 30,000 katika maeneo 40,000 tuliyoaanisha ndani ya mpango kazi wetu .... pia nchi yenye uchumi wa kati chini hatuwezi kukaa bila kuwa na mkakati wa maendeleo ya watu ambao wengi ni masikini katika nchi yetu ....
 
RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia

Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote

Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali

Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi

Nawatakia Sabato Njema [emoji3][emoji3]
Haijawahi kutokea na haitatokea kwa kanisa kukaa kimya huku likiamini raia wa kawaida wanakandamizwa. Miaka yote kanisa ni sauti ya wasio na sauti. Ni sauti ya unabii na kazi ya nabii ni kuonya na hata kukaripia ikibidi. Asome Biblia kwa makini ataona wafalme walivyokuwa wakikaripiwa na manabii pale wanapocheza fyongo kwa watu wa Mungu. Kwa kuwa Chalamila anafaidika na kinachoendelea, hatushangai kusikia kauli kama hizi kutoka kwake!
 
RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia

Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote

Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali

Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi

Nawatakia Sabato Njema 😀😀
ati hamtafanya chochote, huyu jamaa akili yake sijui nifananishe na nini? anaamini wananchi hawatafanya chochote? akili au matope haya?
 
Sema kusema ukweli

Siasa na dini ni vitu viwili incompatible kabisaaaaa,huwezi changanya pamoja hata siku moja

Ili uweze kufanya maendeleo lazima kuna watu watatumia TU.chukua mfano mzuri tuuh barabara zilivyojengwa kuanzia kimara huko Hadi kibaha ,maduka na majengo ya watu (makali) kibao yalibomolewa lakini sasa hivi ndo wa kwanza kushukiru serikali Kwa upanuzi wa barabara ambayo inawasaidia kufika majumbani kwao Kwa haraka

Broh & sisters maumivu ni Kwa muda tuu

Tuipe muda serikali iamue Cha kufanya mtakuja nishukur
Mbona mfano wako ni irrelevant na context iliyopo kuhusu dini na siasa?
 
Huyo mtawala si anawekwa madarakani na kura za watu kwa ajili ya watu? Hivi hii tabia ya kutisha watu waliokuweka madarakani kupitia uteuzi wa Rais inatoka wapi? 😳
 
Back
Top Bottom