Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fake news; RC anayelindwa na bunduki 7.kama sio zaidi unaanzaanza vipi mpaka umshambulie kimwili kwa ngumi, teke au kichwa?! Leta picha hapa tukuelewe vinginevyo wewe ni mchochezi na sheria iko wazi!
Hata kama unalindwa na bunduki 200, ukileta za kuleta mbele yangu unachapwa tu sana sana nitawekwa ndani na kufikishwa mahakamani watakapoona vema; na bila kujali itachukua muda gani lakini hatimaye nitashinda kesi.Fake news; RC anayelindwa na bunduki 7.kama sio zaidi unaanzaanza vipi mpaka umshambulie kimwili kwa ngumi, teke au kichwa?! Leta picha hapa tukuelewe vinginevyo wewe ni mchochezi na sheria iko wazi!
Owwiiii, wacha nicheke mie!Kuna taarifa kuwa fisi huko serengeti wamekosa swala wameanza kutafunana wenyewe mwenye Ka video jamani atimeeeeeeee!
Tulisha sema kuwa hiyo Arusha ina wenyeweMkuu wa Mkoa WA Arusha Mrisho Gambo amepokea kipigo kutoka kwa Katibu wa Ccm Mkoani Arusha Elias Mpanda Mara baada ya kulazimisha wajumbe wasiohusika kuingia kikao cha kamati ya siasa mkoa ambao yeye mkuu wa mkoa ni mjumbe lakini huku akilazimisha waingie kamanda wa TAKUKURU ARUSHA na AFISA USALAMA TAIFA MKOA ambao kiitifaki si wajumbe wa kikao hicho.
Gambo amepokea kichapo hicho na kumsababisha kuvimba pua na Mdomo baadaya ya kulazimisha wajumbe hao ambao kimsingi si wajumbe kutaka washiriki kiako na kuanza kumporomoshea matusi ya nguoni katibu wa mkoa ccm bwana Elias Mpanda,
hata hivyo baada ya kipigo kikao hicho kilichokuwa ofisi ya mkoa Arusha kilivunjika,baada ya kuvunjika mkuu wa mkoa alituma Askari wakuu akiwemo RCO wa Arusha kumkamata Katibu huyo lakini busara za RCO aliyekaa kikao na pande zote mbili kutuliza hasira zao.
Hata hivyo haijulikani kikao hicho kitafanyila lini tena huku Mwenyekiti akitafakari namna itakavyo endelea.
Gambo ambaye alipachika wagombea wake kila eneo lakini walishindwa na kambi ya mkiti aliyeshinda mh Sanare amekuwa kwenye wakati ngumu katika vikao hivyo.
Hadi sasa imekua siri kwa wanachama wa Chama cha mapinduzi Ccm Mkoa wa Arusha kuwa kitendo hicho ni cha aibu sana,
Msimamo wa kamati ya siasa ni kuwa wateule na viongozi wakuchaguliwa kutekeleza ilani ya chama badala ya kuingilia maamuzi ama kuendesha chama kwa mgongo wa uteuzi wao
Gambo alifika katika kikao kikao hicho na Afisa usalama wa Mkoa Rso pamoja na kamanda wa Takukuru Mkoa Wa Arusha
Kadundwa!!!!!mtawasingizia cdmSource?Picha?Video?
Kwenye ukweli uongo ujitengahuu uzi utakuwa na maisha kweli?
Kwisha habari zao hapa Arusha ccm wameanza kutafunanaMrisho Rambo hukulusha mateke kama Rambo na komando kipensi ,kweli kifo cha nyani baunsa huzima taa
Nikweli tusiwachumie dhambi modsHabari za kweli hazifutwi mjomba
Usicheze na nguvu ya albadiriNina mashaka na ukweli wa taarifa hii........Niishie hapo!
Hata ukibisha hilo tayari ni pembe la ng'ombeMkuu
Mbna gambo leo yupo mireran tena hana nundu wala jeraha.
Wacha maneno weka ndondiRc huwezi kumfananisha na mtu kama lema,ni mwenyekiti kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa ana dola ana mlinzi,unaanzaje kumpiga?
Eti Rco Katumia busara,Rc akisema kamata weka ndani ni amri
Halafu ccm ni chama tawala,kina haki kumuita afisa yoyote wa serikali kwa ajili ya kutoa ufafanuzi kikaoni
Duuh mkuu au sio wew leo umecoment siasa.Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya sasa hadi wana CCM wananyooshwa
USALAMA na TAKUKURU wamekuwa wajumbe wa CCM [emoji23]
Umeanza vizuri maelezo yako ila huko umemalizia kibashite tofautisha kuwaita kwenye vikao vya serikali na vikao vyenu vya kimbeyambeya vya chamaRc huwezi kumfananisha na mtu kama lema,ni mwenyekiti kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa ana dola ana mlinzi,unaanzaje kumpiga?
Eti Rco Katumia busara,Rc akisema kamata weka ndani ni amri
Halafu ccm ni chama tawala,kina haki kumuita afisa yoyote wa serikali kwa ajili ya kutoa ufafanuzi kikaoni
Unafanywa nini hapo kwenye profile? Maana naona upo tu 'mkuchekelea'!Mrisho Rambo hukulusha mateke kama Rambo na komando kipensi ,kweli kifo cha nyani baunsa huzima taa