RC Homera: Kuleni Maharagwe aina ya Jesca muongeze nguvu za kiume

RC Homera: Kuleni Maharagwe aina ya Jesca muongeze nguvu za kiume

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
RC wa Mbeya, Juma Homera amewashauri wanaume wenye matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume kuacha kutumia dawa za kienyeji kuongeza nguvu hizo akidai dawa hizo zina madhara na badala yake watumie maharagwe aina ya Jesca

jesca.JPG
 
Soya vp??
[emoji257] Rose koko nae vp??
Chakubanga nae??
Soya nyeupe vp
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera amewashauri wanaume wenye matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume kuacha kutumia dawa za kienyeji kuongeza nguvu hizo akidai kuwa dawa hizo zina madhara na badala yake watumie vyakula vyenye madini ya Zink yakiwemo maharage aina ya Jesca yaliyofanyiwa utafiti na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) kituo cha Uyole Jijini Mbeya.

View attachment 1921499
Hivi vyeo kuna mtu kavipiga kipapai.. Yani mtu akishakipata halafu apewe kipaza sauti aongee mbele ya camera atatoa mashudu tupu

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

RC atakuwa na biashara ya maharage anaipromote kiaina. Mjini shule joh

Ngoja nami nilime maharage msimu huu halafu niyaite mwajuma, nanusa harufu ya kutusua hapa.
 
Mbeya hakuna mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume wenye tatizo Hilo wako mikoa ya Pwani ,Tanga na Zanzibar
 
Back
Top Bottom