Mzee wangu ref Tax administration act 2015 humo utakuta mafuvu na vichwa vya wafanyabihashara wote. Hence hakuna cha kufanya maana bunge na serikali ndio walio pitisha hayo. EndMkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.
Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama ilivyokuwa enzi zile.
Chanzo: ITV
Maendeleo hayana vyama!
Unambishia Kunenge?Walio kimbia soko Ni wale waliopenda shortcut,wa Congo waaminifu bado wanawndelea kuja,wamalawi waaminifu bado wanawndelea kuja,utitili wa watu wa wacongo na wamalawi mwanzo haukuwa wa tija,walikuwa wengi Tena Sana lakini walikuwa wanakuja wanachota bidhaa bulebule ,wanaondoka,kwa Sasa ukija kariakoo unachukua mizigo halali,unaacha Kodi halali,yaani ni mwendo wa win win stuation.
Tatizo unalijuaKaruakoo ilikuwa ukiwa dola iliyochakaa kabisa ambayo hakuna benki au duka lolote la pesa za kigeni waweza kuikubali ilikuwa ukienda kariakoo maduka ya kawaida tu inapokekewa bila shida yoyote wanakubadilishia tena kwa rate nzuri kabisa
namchallengeUnambishia Kunenge?
MabeberuKaruakoo ilikuwa ukiwa dola iliyochakaa kabisa ambayo hakuna benki au duka lolote la pesa za kigeni waweza kuikubali ilikuwa ukienda kariakoo maduka ya kawaida tu inapokekewa bila shida yoyote wanakubadilishia tena kwa rate nzuri kabisa
Na mwezi huu tutavunja rekodi ya makusanyo.Kariakoo ilikuwa inajulikana nchi zote za Afrika mashariki na kati
kutokana na bei za vitu kuwa chini wafanyabiashara wengi wa kenya hada mombasa walikuwa wakija kufunga mizigo kariakoo
hoteli zia kariakoo zilijuwa zikijaa wafanyabiashara toka Zambia,malawi,Congo,burundi rwanda ,kenya na zimbabwe sasa hivi ziko tupu baada ya kariakoo kuuawa na TRA sasa hivi kodi kariakoo TRA ina maana zimepungua kuanzia biashara hadi mahoteli!!! TRA inaumia na watu wanaumia .Kuanzia wenye fremu za kupangisha nk
Kariakoo kurudi inatakiwa TRA ijirudi
Hadi wew Ummy Mwalimu umekubali....mi5 tenaThings will never be the same again
Hata nyuki akiacha ujinga hutengeneza asali.Walio kimbia soko Ni wale waliopenda shortcut,wa Congo waaminifu bado wanawndelea kuja,wamalawi waaminifu bado wanawndelea kuja,utitili wa watu wa wacongo na wamalawi mwanzo haukuwa wa tija,walikuwa wengi Tena Sana lakini walikuwa wanakuja wanachota bidhaa bulebule ,wanaondoka,kwa Sasa ukija kariakoo unachukua mizigo halali,unaacha Kodi halali,yaani ni mwendo wa win win stuation.
uchumi haujaharibika,ila units zote za uchumi zimewekewa mazingira ya win win situation..ili huu mfumo uzoeleke,tunategemea baadhi yao wata withdraw,lakini kwa muda ,na watakaporudi watakuwa ni permanent partners.Kwa ujumla ni kuwa siyo TRA walioharibu uchumi wetu bali ni mfumo mzima wa Serikalo ya awamu ya 5 ndio umeharibu uchumi wa nchi.
TRA, watendaji - wote wapo chini ya Serikali. TRA na watendaji hawawezi kufanya kitu kinyume cha matakwa ya Serikali.
Kuharibu ni rahisi sana, lakini siyo kutengeneza. Baadhi ya maeneo ambayo awamu ya 5, imeharibu, itachukua hata zaidi ya miaka 20, kurejesha hali iliyokuwepo.
But will be better/worse?Things will never be the same again
Kwani takwimu kutoka kwa mabeberu(IMF) zinakubalika kwa wazalendo?unapesa za kuwahonga IMF wewe! Ili wakupikie data??!! Zzzzyuuuuuuu!
Unajisifia kupendwa na watu wajinga?!! Ni 'mjinga mahiri' pekee ndiyo huona fahari kupendwa na wajinga wenzie.Wasio na elimuTanzania ndio majority upinzani usahau kuchukua hii nchi sababu majority hawana elmu na ndio wapiga kura wengi na ndio wapenda CCM
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnakumbuka shuka asubuhi kumesha kucha ... !!!Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.
Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama ilivyokuwa enzi zile.
Chanzo: ITV
Maendeleo hayana vyama!
Sasa anacho lalamika RC ni kipi? Kwa hiyo we una uelewa kuliko RC mwenyewe? Kwamba RC anawahitaji hao wapenda shotcut ili kunusuru hali ya sasa? Kwamba RC anataka kukaribisha tena lose-win situation?Walio kimbia soko Ni wale waliopenda shortcut,wa Congo waaminifu bado wanawndelea kuja,wamalawi waaminifu bado wanawndelea kuja,utitili wa watu wa wacongo na wamalawi mwanzo haukuwa wa tija,walikuwa wengi Tena Sana lakini walikuwa wanakuja wanachota bidhaa bulebule ,wanaondoka,kwa Sasa ukija kariakoo unachukua mizigo halali,unaacha Kodi halali,yaani ni mwendo wa win win stuation.
Sio kitu gani ni makodi ambayo hayana tija wayo bambikiziwa mipakan ndio Mana hawajiMkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.
Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama ilivyokuwa enzi zile.
Chanzo: ITV
Maendeleo hayana vyama!