tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Una akili sana weweHAKUNA kitu hapo.solution NI kumwaga vijana wa JKT na JWTZ mitaani wazurure zurure TU waache kukaa makambini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akili sana weweHAKUNA kitu hapo.solution NI kumwaga vijana wa JKT na JWTZ mitaani wazurure zurure TU waache kukaa makambini.
Hao ni kuwaua kama walivyouawa komando yoso mpaka wazazi wao waliwahamishia vijijini na waliobakia ilikuwa akishajulikana tu, anafuatwa anauawa mbele ya mzazi wake ndio dawa kama mbwai mbwai tu, siwezi kutafuta hela yangu kwa shida, halafu mjinga aje achukue kijinga na anipige panga, no way!!Hawa watoto sio wa kuwapeleka polisi...solution nzuri ni kumalizana kabisa ili tuheshimiane.....
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Akili za kuvukia barabara hizi.Dar ina watu zaidi ya million 3, watu chini ya 300 wanasumbua vipi? Fursa hii, nna wanangu kama 7 hivi wanaiweza hii kazi, wapewe tu leseni ya kazi maalum alafu the rest mtaona hapo hapo. Vitoto vidogo haviwezi kusumbua watu.
Jwtz wasake panya road? Hiyo kazi ya polisi na polisi wakiamua kufanya kazi wanafanyaga kazi kweli.HAKUNA kitu hapo.solution NI kumwaga vijana wa JKT na JWTZ mitaani wazurure zurure TU waache kukaa makambini.
Kwani Makonda alimwaga vijana wa Jkt na Jwtz?HAKUNA kitu hapo.solution NI kumwaga vijana wa JKT na JWTZ mitaani wazurure zurure TU waache kukaa makambini.
Unapeleleza nini, wakati unaushaidia panya road wameua na kupora watu wengi sana.Kwani sheria ya kupeleleza kwanza kabla ya kukamata imefutwa au umesimamishwa kwa muda?
huu nao ni kama uoga sasa unataka kwenda kuwa kabili panya road then unawatangazia ili iweje yani wakijificha ili kukwepa operation je itakua ime solve tatizo?Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema "Kuanzia leo, baada ya tamko langu leo, usiku wa leo na kuendelea hakuna 'Panya Road' atasalimika katika mkoa wa Dar, oparesheni inayoanza usiku wa leo si salama kwa 'Panya Road', oparesheni inayoanza leo inaenda kuua uti wa mgongo wa mtandao mzima wa 'Panya Road"
Ameongeza "Niwasihi wazazi kwamba operesheni hii haitowaacha watoto wao wahalifu, kama mzazi ulizoea kupata zawadi kwa mtoto, TV bila kujua kipato chake, akudanganye 'amebeti', kawatafuteni watoto wenu kwenye vituo vya Polisi kuanzia kesho"
Amesisitiza "Kila Wilaya kwa mikoa ya Kipolisi, kutoa taarifa za kila siku za Operesheni ondoa 'Panya Road' na kudhibiti uhalifu katika mkoa wa Dar es Salaam kila siku, toeni taarifa tusipotoa taarifa watazitoa taarifa mbaya"
Ameyasema hayo siku moja baada ya kundi hilo la uvamizi kuvamia na kujeruhi watu 19 katika Maenel ya Mtongani, Kunduchi mkoani humo
View attachment 2208639
Yaani mbinu nzuri ingekuwa ile ya kipindi cha Augustino, mzazi au ndugu unapewa taarifa kachukue maiti sehemu fulani au mochuari.
Hiyo ya nenda kituo cha polisi imekaa kama ina upendo fulani hivi!.
Wapigania HAKI ZA BINADAMU wameiona hii😀😀😀Mkuu wa mkoa umetumia lugha ya busara ila najuwa ujumbe wako kama Raisi alivyosema jana mnahatarisha maisha ya watoto zenu. Hawa mkiwa na uhakika ni wao naomba pigeni risasi mbwa hawa na wacha wapige kelele lakini mna support kwa watu wastaarabu mambo ya kizamani hapa hayana nafasi wafundishe adabu you have full support. Mimi simuonei huruma kibaka hawa ni wauwaji wanaweza kuuwa mtu kwa simu tu ni wakati kuunga mkono mkuu wa mkoa na serikali fanyeni kazi kuwaondoa hawa katika ramani ya dunia hii, na akitokea mzazi kujiliza mchapeni bakora zake washenzi hawa.
Acha maneno RC toeni vibali wananchi wawasake.
Awatoshi kulinda watu wote.Wanasema JKT, JWTZ hawana kazi. Kama polisi wameshindwa kazi tuwape kazi wakaae mtaani.
Mtu akishakuwa kibaka, mchawi,huyo hana ubinanadamu wowote ni ruhusa kwa Jamii kumuondoa akamsalimie shetaniWapigania HAKI ZA BINADAMU wameiona hii😀😀😀
Punguza hasiraaa
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema "Kuanzia leo, baada ya tamko langu leo, usiku wa leo na kuendelea hakuna 'Panya Road' atasalimika katika mkoa wa Dar, oparesheni inayoanza usiku wa leo si salama kwa 'Panya Road', oparesheni inayoanza leo inaenda kuua uti wa mgongo wa mtandao mzima wa 'Panya Road"
Ameongeza "Niwasihi wazazi kwamba operesheni hii haitowaacha watoto wao wahalifu, kama mzazi ulizoea kupata zawadi kwa mtoto, TV bila kujua kipato chake, akudanganye 'amebeti', kawatafuteni watoto wenu kwenye vituo vya Polisi kuanzia kesho"
Amesisitiza "Kila Wilaya kwa mikoa ya Kipolisi, kutoa taarifa za kila siku za Operesheni ondoa 'Panya Road' na kudhibiti uhalifu katika mkoa wa Dar es Salaam kila siku, toeni taarifa tusipotoa taarifa watazitoa taarifa mbaya"
Ameyasema hayo siku moja baada ya kundi hilo la uvamizi kuvamia na kujeruhi watu 19 katika Maenel ya Mtongani, Kunduchi mkoani humo