RC Makalla: Kuanzia usiku wa leo hakuna Panya Road atasalimika, operesheni inayoanza si salama kwao

RC Makalla: Kuanzia usiku wa leo hakuna Panya Road atasalimika, operesheni inayoanza si salama kwao

Hawa watoto sio wa kuwapeleka polisi...solution nzuri ni kumalizana kabisa ili tuheshimiane.....

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Hao ni kuwaua kama walivyouawa komando yoso mpaka wazazi wao waliwahamishia vijijini na waliobakia ilikuwa akishajulikana tu, anafuatwa anauawa mbele ya mzazi wake ndio dawa kama mbwai mbwai tu, siwezi kutafuta hela yangu kwa shida, halafu mjinga aje achukue kijinga na anipige panga, no way!!
 
Dar ina watu zaidi ya million 3, watu chini ya 300 wanasumbua vipi? Fursa hii, nna wanangu kama 7 hivi wanaiweza hii kazi, wapewe tu leseni ya kazi maalum alafu the rest mtaona hapo hapo. Vitoto vidogo haviwezi kusumbua watu.
Akili za kuvukia barabara hizi.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
HAKUNA kitu hapo.solution NI kumwaga vijana wa JKT na JWTZ mitaani wazurure zurure TU waache kukaa makambini.
Jwtz wasake panya road? Hiyo kazi ya polisi na polisi wakiamua kufanya kazi wanafanyaga kazi kweli.
Ukitaka kujua hilo tukio likiwa linawahusu wao mfano ameuawa kamanda wa polisi yanj majibu uwa yanapatikana mapema.
Tz raia ni rahisi kutoa taarifa polisi wakiamua kuzipata
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema "Kuanzia leo, baada ya tamko langu leo, usiku wa leo na kuendelea hakuna 'Panya Road' atasalimika katika mkoa wa Dar, oparesheni inayoanza usiku wa leo si salama kwa 'Panya Road', oparesheni inayoanza leo inaenda kuua uti wa mgongo wa mtandao mzima wa 'Panya Road"

Ameongeza "Niwasihi wazazi kwamba operesheni hii haitowaacha watoto wao wahalifu, kama mzazi ulizoea kupata zawadi kwa mtoto, TV bila kujua kipato chake, akudanganye 'amebeti', kawatafuteni watoto wenu kwenye vituo vya Polisi kuanzia kesho"

Amesisitiza "Kila Wilaya kwa mikoa ya Kipolisi, kutoa taarifa za kila siku za Operesheni ondoa 'Panya Road' na kudhibiti uhalifu katika mkoa wa Dar es Salaam kila siku, toeni taarifa tusipotoa taarifa watazitoa taarifa mbaya"

Ameyasema hayo siku moja baada ya kundi hilo la uvamizi kuvamia na kujeruhi watu 19 katika Maenel ya Mtongani, Kunduchi mkoani humo
huu nao ni kama uoga sasa unataka kwenda kuwa kabili panya road then unawatangazia ili iweje yani wakijificha ili kukwepa operation je itakua ime solve tatizo?
 
Mkuu wa mkoa umetumia lugha ya busara ila najuwa ujumbe wako kama Raisi alivyosema jana mnahatarisha maisha ya watoto zenu. Hawa mkiwa na uhakika ni wao naomba pigeni risasi mbwa hawa na wacha wapige kelele lakini mna support kwa watu wastaarabu mambo ya kizamani hapa hayana nafasi wafundishe adabu you have full support. Mimi simuonei huruma kibaka hawa ni wauwaji wanaweza kuuwa mtu kwa simu tu ni wakati kuunga mkono mkuu wa mkoa na serikali fanyeni kazi kuwaondoa hawa katika ramani ya dunia hii, na akitokea mzazi kujiliza mchapeni bakora zake washenzi hawa.
Wapigania HAKI ZA BINADAMU wameiona hii😀😀😀
Punguza hasiraaa
 
Kamateni viongozi wao kisha muwarudishe kuzimu, panya watasambaratika tu
 
Ati ukawatafute polisi.... kwanini isiwe kwenye jengo lingine la serikali.
 
Wanasema JKT, JWTZ hawana kazi. Kama polisi wameshindwa kazi tuwape kazi wakaae mtaani.
Awatoshi kulinda watu wote.
Muhimu waende kwenye vijiwe vya panya,au wakawafate kwa wazazi wao wawachomoe
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema "Kuanzia leo, baada ya tamko langu leo, usiku wa leo na kuendelea hakuna 'Panya Road' atasalimika katika mkoa wa Dar, oparesheni inayoanza usiku wa leo si salama kwa 'Panya Road', oparesheni inayoanza leo inaenda kuua uti wa mgongo wa mtandao mzima wa 'Panya Road"

Ameongeza "Niwasihi wazazi kwamba operesheni hii haitowaacha watoto wao wahalifu, kama mzazi ulizoea kupata zawadi kwa mtoto, TV bila kujua kipato chake, akudanganye 'amebeti', kawatafuteni watoto wenu kwenye vituo vya Polisi kuanzia kesho"

Amesisitiza "Kila Wilaya kwa mikoa ya Kipolisi, kutoa taarifa za kila siku za Operesheni ondoa 'Panya Road' na kudhibiti uhalifu katika mkoa wa Dar es Salaam kila siku, toeni taarifa tusipotoa taarifa watazitoa taarifa mbaya"

Ameyasema hayo siku moja baada ya kundi hilo la uvamizi kuvamia na kujeruhi watu 19 katika Maenel ya Mtongani, Kunduchi mkoani humo

Kwani mkuu wa mkoa na timu yake walikuwa wapi mpaka panya road wafanye waliyoyafanya? Inashangaza kuona panyaroad wanafanya wanayofanya mtongani kunduchi karibu na kambi za jeshi. Kuna shida mahali fulani TZ
 
USA walifanikiwa kuwapunguza gangs kwa njia zifuatazo.
1.Kuwakamata wezi Sugu na kuwapeleka Jeshini kule wanapewa mafunzo ya vita kisha wanapelekwa vitani mstari wa mbele wakamalizwe wakipona SAwa.
2.Kuwasaka maskani yao na kuwaua.
3.Kuwageuza dabo agent yaani kuwaajiri wawe informer wanaenda kwenye tukio kisha wanauza ramani kwa police, wanatengenezwa mazingira ya kutoroka lakini wale wengine wanamalizwa palepale.
Solution.
Serikali iwakamate panya wote wapelekwe kambini wakafundishwe vita kisha wapelekwe nchi za vita wakapambane na waasi, hii pia ni njia nzuri ya kuwamaliza panya.
 
Back
Top Bottom