Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Anayekuambia uchukue mkopo si atakayekuja kukudai ukishindwa marejesho.alafu yule bibi alikuwa anawabembemleza
Hii nchi ina raisi mwenye sauti ya kubembeleza ila inalindwa na watu katili sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayekuambia uchukue mkopo si atakayekuja kukudai ukishindwa marejesho.alafu yule bibi alikuwa anawabembemleza
Wazurure wakitafuta nini ?HAKUNA kitu hapo.solution NI kumwaga vijana wa JKT na JWTZ mitaani wazurure zurure TU waache kukaa makambini.
Mkuu hao panya ni tatizo!Panya road nini? Siamini kabisa kwamba kuna watu wanaitwa Panya road ila kuna wezi wanaotumia mapanga kuvamia watu kuwaibia na kuwajeruhi wanotaka kuwazuia wasichukue wanachotaka.
Kwa vyovyote iwavyo polis baadhi wanahusika katika matukio aya haiwezekani wezi wateke mtaa mzima afu polis washindwe kuwanasa. Kibaya zaidi wanaiba mchana mimi sikubaliani na ayo majina yenu mnayobatiza wezi kwakuwaita Panya road.
Suluhisho siyo kuwamaliza ila kuwawekea mazingira rafiki ya kujipatia riziki halali. Nguvu ya Dola kamwe haiwewiki watu huruHAKUNA kitu hapo.solution NI kumwaga vijana wa JKT na JWTZ mitaani wazurure zurure TU waache kukaa makambini.
Hizo link za zoom ni za mda kidogo,nlifikiri ungenitajia duka maalum wanalouza recentlyHebu jaribu ku-google uandike 'self defence body spray' au Pepper spray self protection'. Utaona zinakouzwa kwa hapo Dar. Mie nime-google naona kuna hadi watu wanaziuza zoom Tanzania (Kinondoni. Tsh 40K). Sema siwezi weka link JF wazije wakanipiga ban. Hawaruhusu kuweka link humu.
Hizi spray pia zinatumika haswa kwa wadada wanaoenda kutoa huduma nyumbani kwa mtu kwa kazi kama usafi ama kazi za ndani kwa siku. Akifika kwa boss ake kisha boss akataka kumfanyia unyanyasaji wa kijinsia, mdada anatoa kwenye kimkoba chake na kum-spray huyo janaume. Hatarudia tena kunyanyasa wanawake.
Nimekupa mbinu zaidi mkuu. Elimisha na wengine huko uliko. Ulinzi binafsi ni jukumu lako kwanza kabla Polisi hawajafika.
Hii ndio adhabu bora zaidi kuliko kupigwa chuma cha kichwaWakatwe viganja vya mikono
Hao panya ni watoto tu wasio na adabu na malezi mabovu.Hapo panya road wajiandae tu,
Ni mwendo wa kunyang'anywa mapanga kisha wanapelekwa kwenda kuonyesha sehemu wanapoficha mapanga yao.
Wakifika huko panya wengine wanakuja kuwaokoa panya wenzao kisha yanatokea majibishano ya mapanga kati ya panya road na askari wetu, ila kutokana na weledi wa askari wetu wanafanikiwa kupambana kimedani mpaka panya wanachanyikiwa na kwa bahati mbaya wanaanza kukatana mapanga wenyewe kwa wenyewe na kujeruhiana vibaya sana.
Askari wetu wakiwa wanawawahisha hospital bahati mbaya panya wanapoteza maisha wakiwa njiani kutokana na kupoteza damu nyingi kwenye majeraha waliyopata.
Mimi binafsi naunga mkono panya wote wanyang'anywe mapanga yao haraka iwezekanavyo kabla hawajaleta athari kubwa zaidi katika jamii.
Hata me mkuu nimishi sana na watu wahuni tena zaid ya wahuni ila sjawai kuona au kuskia upuuz huuNimeishi,nmepita sehemu za kihuni
Sijawahi ona ujingujing kama huu
Sijui anakuja mtu anapora watu
Ova
Kuna wale wanarudi huoni majeraha ua milele na maumivu yasionekana, hiyo inakuwa mpaka kiakili wanakuwa hawako sawa. Inapaswa kuwa special case.Kwenye kuokoa kuna wanaopona na kufa, so issue ya watakaorudi ni nafuu warudi na vilema vya kudumu, mfano mtu anarudi akiwa hana pua, masikio na vidole vya miguuni, nyonga imelegezwa kama mlenda!.
Piga Chuma hao mbwa kabisa haoWewe hao ni majambazi kama ni ndugu zako wambie waache mara moja lasivyo wanakitafuta kifo!
Wana kwao na wengne wanahudumia familia kwa kaz hii haramu. Wazazi wengne wanajua kaz wanazofanya watoto wao na wamebarikAfadhali wamefanya yao kabla ya sikukuu...
wadhibitiwe mapema...
Mazalia ya omba omba hayo..watoto hawana kwao!
Anandugu yake mwalifu au nae ni mwizi huyoooo. Wachache wafe kwa maslah ya wengHaha, kuna watu wapuuzi sana. Watadai haki za kibinadamu zinavunjwa. Za wengine wanaofata sheria, wanaoibiwa,kupigwa, kuuawawa, kutoweza kutembea kwa uhuru hazivunji.
Tunajali haki za wahalifu tu.
InaleaAwamu ina nini?
Acha wauwawe hata dini ,inasema anaye uwa na yeye auwawe ,kumbuka operation iliofanyika Boston miaka kadhaa iliopita ,kuna wakat maamuzi yakikatili ndio uleta tija kwa umma!!Mawazo ya kipuuzi kbs na mawazo km haya ndy wanakuwa Nayo polisi baadhi wakishapewa kazi ya kuingia mtaani kutafuta wahalifu..
Enzi hizo za wahuni wa Temeke Mimi nimewahi kusombwa polisi kisa tupo kitaani tunacheza draft na polisi wanatafuta vikundi vya kihalifu
Wangekuwa na mawazo km yako wengi tungekufa bila hatia
Km umezaliwa uswahilini wanakotokea hawa panya road,mburahati,kigogo,manzese,tandika nk haiwezi kuepuka kukutwa na majanga ya kihalifu ktk safari ya maisha yako..
Hao watoto wamejikuta Tu wamezaliwa uswahilini,hawakujichagulia wao wenyewe ingawa uhalifu ni Jambo walilolichagua..Polisi wakiingia mtaani wanachojua wanaenda kukamata panya road uswahilini,sasa mara kadhaa inatokea wanakamatwa na wasiohusika..Je,kuua ni solution?? Fikiria tena mkuu!!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Maisha kuwa magum awakupatii kibali cha kudhuru watu na kuwaibia ,tumetokea huko huko ,kushindia andaz Moja had jion ,tena unavuta mda chai unakunywa saa Sita au saba kasoro ili izibe gap ya lunch, na atujawai dhuru mtu , hawa ni majambazi ,na wameyachagua Maisha hayo na lazima waangamizwe kwa gharama yoyoteKitendo Cha kuongezeka kwa matukio ya uhalifu ni dhahiri kwamba maisha ni magumu Sana na tutashudia mengi Sana haya ya Panya Barabara ni mwanzo tu
Wasiojulikana waingilie Kati basi mchezo uisheMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema "Kuanzia leo, baada ya tamko langu leo, usiku wa leo na kuendelea hakuna 'Panya Road' atasalimika katika mkoa wa Dar, oparesheni inayoanza usiku wa leo si salama kwa 'Panya Road', oparesheni inayoanza leo inaenda kuua uti wa mgongo wa mtandao mzima wa 'Panya Road"
Ameongeza "Niwasihi wazazi kwamba operesheni hii haitowaacha watoto wao wahalifu, kama mzazi ulizoea kupata zawadi kwa mtoto, TV bila kujua kipato chake, akudanganye 'amebeti', kawatafuteni watoto wenu kwenye vituo vya Polisi kuanzia kesho"
Amesisitiza "Kila Wilaya kwa mikoa ya Kipolisi, kutoa taarifa za kila siku za Operesheni ondoa 'Panya Road' na kudhibiti uhalifu katika mkoa wa Dar es Salaam kila siku, toeni taarifa tusipotoa taarifa watazitoa taarifa mbaya"
Ameyasema hayo siku moja baada ya kundi hilo la uvamizi kuvamia na kujeruhi watu 19 katika Maenel ya Mtongani, Kunduchi mkoani humo
AK 47 unaifahamu? Yani waende kukamata watoto na AK 47! Wacha masihara hiyo ndude inatumika Ukraine na si kwa panya.Hao panya ni watoto tu wasio na adabu na malezi mabovu.
Hawana ubavu wa kwenda kujibishanan na polisi wenye AK 47 na mabati yaliyochongwa.
Unaambiwa ni vijana wa 14- 18 years. Wanavuta bangi, kunywa pombe na kutumia madawa mengine ya kulevya. Umri huu ni kuwa wamekosa ajira ama wameasi masomo na kuingia mtaani kufanya uhalifu?Suluhisho siyo kuwamaliza ila kuwawekea mazingira rafiki ya kujipatia riziki halali. Nguvu ya Dola kamwe haiwewiki watu huru