Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Amerahisisha maisha huyu, Kama huna hela unanunua maembe unaweka barabarani unakamatwa unaenda kula Dona la bure mwaka mzima.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewataka watendaji wa mitaa kulinda maeneo yao, kuhakikisha wamachinga waliohamishwa hawarudi tena maeneo hayo, wakikuta kibanda watajua watendaji wanahusika
Kama ramani hazisomi unafanya hivyoAmerahisisha maisha huyu, Kama huna hela unanunua maembe unaweka barabarani unakamatwa unaenda kula Dona la bure mwaka mzima.
Kisheria, mtu akifanya biashara kwenye hifadhi ya barabara ni faini Tsh. 300,000 au kifungo kisichozidi mwaka mmoja. Mkuu wa Mkoa amebainishaUnaliwa we mzee