RC Makalla: Machinga wakirudi maeneo waliyohamishwa, nitakuwa sitoshi kwenye nafasi yangu

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Amos Makalla amesema endapo baada ya tarehe 30/11/2021 Wamachinga wataendelea kuonekana katika maeneo yasiyo rasmi basi yeye na Wakuu wake wa wilaya watakuwa HAWATOSHI.

Source: Star

Jumaa kareem!
 
Watakuana wenyewe. Sisi Walimu hayatuhusu.
 
RC ni mkuu wa RPC, hivyo anatakiwa ahakikishe anapambana na wahalifu sambamba kama anavyopambana na wamachinga.
Yeye ameanza na Machinga.

Sirro alishakaa na wenyeviti wa serikali za mitaa na kuweka mikakati ya kuwashughulikia vibaka !
 
Sirro huyuhuyu aliyesema wananchi walale na Mapanga na mikuki!! Unamuamini?
 
Back
Top Bottom