RC Makalla: Machinga wakirudi maeneo waliyohamishwa, nitakuwa sitoshi kwenye nafasi yangu

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Amos Makalla amesema endapo baada ya tarehe 30/11/2021 Wamachinga wataendelea kuonekana katika maeneo yasiyo rasmi basi yeye na Wakuu wake wa wilaya watakuwa HAWATOSHI.

Source: Star

Jumaa kareem!
Huyo naye ataondoka kwa aibu kama walivyoshindwa wenzake.

Dsm haijawahi kumuheshimu mwana siasa mtafuta sifa.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Amos Makalla amesema endapo baada ya tarehe 30/11/2021 Wamachinga wataendelea kuonekana katika maeneo yasiyo rasmi basi yeye na Wakuu wake wa wilaya watakuwa HAWATOSHI.

Source: Star

Jumaa kareem!
Star ndiyo chombo gani?
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Amos Makalla amesema endapo baada ya tarehe 30/11/2021 Wamachinga wataendelea kuonekana katika maeneo yasiyo rasmi basi yeye na Wakuu wake wa wilaya watakuwa HAWATOSHI.

Source: Star

Jumaa kareem!
Mapema sana kusema hivyo.
 
Ulevi wa madaraka ni kitu kibaya kweli. Leo Makalla anawawinda wamachinga kuliko hata vibaka!? Kwanini asiseme kama wizi/ ukabaji utaendelea Dar es salaam atakuwa hatoshi????
Hapo ndiyo ameona ndiyo platform ya kutafutia sifa ndani ya chama.
 
Nampa pongezi, tunawapenda wachinga, sisi ni wateja wao, lakini jinsi walivyokuwa wanaendesha biashara zao,sio. Ni mjinga mmoja tu aliye wasapoti
 
Sijui mtu anapata faida gani kufanya mambo ya aibu hadharani, kila kitu kimekuwa ni ubabe na kupenda sifa za kitoto.
Hiyo ndiyo system mbaya sana aliyo ipandikiza mwendazake.
 
Back
Top Bottom