Huyo naye ataondoka kwa aibu kama walivyoshindwa wenzake.Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Amos Makalla amesema endapo baada ya tarehe 30/11/2021 Wamachinga wataendelea kuonekana katika maeneo yasiyo rasmi basi yeye na Wakuu wake wa wilaya watakuwa HAWATOSHI.
Source: Star
Jumaa kareem!
Star ndiyo chombo gani?Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Amos Makalla amesema endapo baada ya tarehe 30/11/2021 Wamachinga wataendelea kuonekana katika maeneo yasiyo rasmi basi yeye na Wakuu wake wa wilaya watakuwa HAWATOSHI.
Source: Star
Jumaa kareem!
Awache vitisho huyo hana jipya kwa hapa dar.Anataka kuwaua?
Naamini hata wanao wanajuta kuzaliwa na wewe.Itabidi uhamie maeneo yaliyopangwa kwa ajili ya vileo!
Hiyo itakuwa ni mara ya pili anafukuzwa kazi.We mpuuzi wewe ndiyo maana ulifukuzwa udereva, hahahahaa
Nakuhuakikishia huyu jamaa atafeli sawa na ma rc wa dar walivyo feliWamachinga komaeni hadi tarehe Iyo, sema wabongo utamaduni wa kujiuzuru hawana huyu angeondoka
Makonda hana lolote la kumsifia wala kumtetea mbele ya jamiiNajaribu ku imagine hii kauli angetoa na Makonda enzi zake..
Humu ndani kusingetosha pia
Mapema sana kusema hivyo.Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Amos Makalla amesema endapo baada ya tarehe 30/11/2021 Wamachinga wataendelea kuonekana katika maeneo yasiyo rasmi basi yeye na Wakuu wake wa wilaya watakuwa HAWATOSHI.
Source: Star
Jumaa kareem!
Hapo ndiyo ameona ndiyo platform ya kutafutia sifa ndani ya chama.Ulevi wa madaraka ni kitu kibaya kweli. Leo Makalla anawawinda wamachinga kuliko hata vibaka!? Kwanini asiseme kama wizi/ ukabaji utaendelea Dar es salaam atakuwa hatoshi????
Huko CCM kupata mzima siku hizi ni kazi sana.Hapo ndiyo ameona ndiyo platform ya kutafutia sifa ndani ya chama.
Umeonaeee?Huko CCM kupata mzima siku hizi ni kazi sana.
Sijui mtu anapata faida gani kufanya mambo ya aibu hadharani, kila kitu kimekuwa ni ubabe na kupenda sifa za kitoto.Umeonaeee?
Luninga ya CCM!Star ndiyo chombo gani?
Hili ni pigo aiseeWatu wanaenda kuteseka na kudhalilika sana
Hiyo ndiyo system mbaya sana aliyo ipandikiza mwendazake.Sijui mtu anapata faida gani kufanya mambo ya aibu hadharani, kila kitu kimekuwa ni ubabe na kupenda sifa za kitoto.
Hayo mnatazama nyinyiLuninga ya CCM!
Tatizo lake ni uleviHiyo itakuwa ni mara ya pili anafukuzwa kazi.
Mara ya kwanza alifukuzwa kibarua cha kuuza chai
Aibu sn hawa viongozi wa CCMAwache vitisho huyo hana jipya kwa hapa dar.