RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

Hivi kwa nini jamaa ana ban ya kuingia US, au na wazungu nao wana majungu majungu.
 
Kapata wapi Hela?
Hapo ishu sio nyamachoma bali ni damu na kwa upande mwingine kiki
Lakini kwa upande mwingine nikijibu swali lako pesa imetoka jangwani kutokana na mauzo ya hivi karibuni.. Ng'ombe 200 kwa bei ya Kawaida ya Tsh, 500,000@ ni Tsh 100,000,000
 
Naunga mkono hoja [emoji7][emoji7]

Mh.Rais yuko Arusha...

Wakuu wa taasisi na mashirika wako Arusha....

Mkuu wa mkoa jembe zaidi ni mkuu wa mkoa mwenyeji hapo Arusha[emoji7]

Kwa heshima ya chifu wetu mkuu chifu Hangaya na kwa utiifu mkuu wa mh.Makonda wacha wana Arusha wale nyama CHOMA...hakuna kula ugali wala wali [emoji7][emoji7][emoji7]

#Tanzania kwanza [emoji7]

#Chifu Hangaya na wateule wake watiifu [emoji7][emoji7]
Ana hakika kuwa waalikwa wote wanakula nyama,?tena choma ya n'gombe!,Haya wee ukitoka hapa usigeuke nyuma,
 
Hivi lema yupo wapi siku hizi?
Lema amewaonya watu wawe makini na matambiko yanayohusisha nyama 😁
1000012561.jpg
 
Back
Top Bottom