RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

Matajiri hawali nyama sana na wengine wana visukari so zitakula familia zao😂 kikubwa hamna kubeba. Ule nyama hadi ukufwe 🤣
Hahaha................hiyo imekaa vizuri, ikiwezekena waweke fungulia goli ili watoto wa uswahili wapige chambi chambi
 
Mama atoe ela za magoli halafu atashindwa kumpa Makonda ela?

Pia atakuwa amepewa pesa za pole kutoka likizo.
Hahaha..........labda zitoke Ikulu, si unajua huo Mkoa Kuna hati hati Majimbo yakaenda Upinzani mwakani.

Kwahiyo huenda ni mbinu ya kufanya Siasa za upande mmoja
 
Hatujapumzik tok kizimkaz,😳🫢now tunaelekea aruxha.mwendo wa event t...hata ikitokea yyte yule anamfanyia mtt,mtu mzim,bib/bab event yyte Ile atujulishe cc 2po
 
Hatujapumzik tok kizimkaz,😳🫢now tunaelekea aruxha.mwendo wa event t...hata ikitokea yyte yule anamfanyia mtt,mtu mzim,bib/bab event yyte Ile atujulishe cc 2po
Awamu ya warsha na sherehe🤣
 
Location hawajataja lakini
Kwahiyo itakuwa mtego huu sio?

Ngoja niendelee kusubiri subiri hapa hapa maana mambo ya kwenda Umbali mrefu hivyo halafu nikose Choma Choma itakuwa ni fedheha Kwa Mzee wa Umri wangu 😜
 
CCM kwa uroho hapo lazima watu kadhaa wakaushwe maini na figo kufeli na changamoto ya kupumua
 
Kwahiyo itakuwa mtego huu sio?

Ngoja niendelee kusubiri subiri hapa hapa maana mambo ya kwenda Umbali mrefu hivyo halafu nikose Choma Choma itakuwa ni fedheha Kwa Mzee wa Umri wangu 😜
Hahahahah watasema tu lakini, kama ni uwanja wa Aman Karume pale basi uhakika
 
Back
Top Bottom