RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

Hivi kwa nini jamaa ana ban ya kuingia US, au na wazungu nao wana majungu majungu.
 
Kapata wapi Hela?
Hapo ishu sio nyamachoma bali ni damu na kwa upande mwingine kiki
Lakini kwa upande mwingine nikijibu swali lako pesa imetoka jangwani kutokana na mauzo ya hivi karibuni.. Ng'ombe 200 kwa bei ya Kawaida ya Tsh, 500,000@ ni Tsh 100,000,000
 
Ana hakika kuwa waalikwa wote wanakula nyama,?tena choma ya n'gombe!,Haya wee ukitoka hapa usigeuke nyuma,
 
Swali la msingi sana maana mishahara na marupurupu ya ma DC tunayajua.
hayahusiani kabisa na mshahara wa marupurupu ya mtu,

na wala sio event kwa manufaa binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…