RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

Watanzania wengi wana njaa na hawana hata uhakika wa mlo kwa siki. Wakipata mtu wa kuwapa nyama hakika hawataacha kufurahi.
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema ng’ombe takribani 200 watatolewa kwa ajili ya kuchoma nyama, tukio linalolenga kuimarisha uhusiano kati ya wafanyabiashara wa mkoa huo na viongozi wanaoshiriki kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma.

“Ng’ombe kama 200 hivi watachinjwa, ni kuchoma nyama tu hakuna ugali wala wali, lakini tumewaita wafanyabiashara wote wa Mkoa wa Arusha” amesema Makonda

Ametangaza kufanyika kwa sherehe ndogo Agosti 29, 2024 kwa lengo la kuwakutanisha wafanyabiashara wa Arusha na Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma.
Jabali, nguli wa siasa na propaganda Tanzania paulo makonda
 
Wenye wivu wajinyonge leo
Wanye wivu wajiinyonge
Wenye wivu wajinyonge Salome
Wenye wivu wajinyonge
Wenye wivu wajinyonge kweli
Wanakodoa kodo wanakodoa (macho kodo)
(wale kodo)
Ukinyonga (wanakodoa kodo wanakodoa)
Ukisonga (wanakodoa kodo wanakodoa)
 
Screenshot_20231102_120808_Remix.png
 
Acha tuone mwisho wake nini.....kila heri na makafara .....
 
Back
Top Bottom