RC Makonda atangaza rasmi ratiba ya kufunga na kufungua Mwaka Arusha

RC Makonda atangaza rasmi ratiba ya kufunga na kufungua Mwaka Arusha

Huyu Jamaa sema ana makovu tu ila kwa vitu anavyofanya anjitahidi aisee...
 
Kumbuka vitu vyote anavyofanya vinahitaji matumizi hakuna innovation ya kusaidia wasio kuwa na hizo Hela Hilo jambo umelizingatia
Hakuna innovation inawagusa wote, kila mmoja atanufaika kwa wakati sahihi, na ndio maana kungekuwa na innovators wengi ktk nyanja tofauti basi majority wangenufaika coz maeneo mengi yangeguswa!
 
Kwa kifupi jamaa ni bingwa wa Ubuntu...........yuko simple lakini anaeleweka sana ..........mpaka lema kaamua kukimbia arusha sio mchezo tuache gubu ...........jamaa ni master
 
Inaonekana Arusha changamoto Yao kubwa ilikuwa ni kuziona Landrovers, kunywa bia, na starehe. Masuala mengine walishamaliza kitambo
 
Inaonekana Arusha changamoto Yao kubwa ilikuwa ni kuziona Landrovers, kunywa bia, na starehe. Masuala mengine walishamaliza kitambo
Kuna muda wa kurefresh pia kwhy wewe ufurahi kisa una matatizo pili msitusemee watu wa arusha
 
Habari JF ,Arusha kumenoga , kuanzia tar 28/12/2024 kutakuwa Churchill show kutakuwa na mtaa wa Bia na zitauzwa kwa bei rahisi , kutakuwa na mtaa wa Nyama Choma .

Tar 31 ni mkesha mkubwa .


Hakika mkoa wa Arusha unatangazwa vilivyo .
Kucheza na akili za mazezeta wa hili Taifa, wajinga hawana muda wa kuhoji mambo serious yanayo husu naisha yao.
 
Sijawahi kuwa ccm mkuu ,nina kadi ya CDM na niko tayari kumsupport Mwenyekiti ajaye Tundu lissu .

Makonda ni mbunifu lakini pia ni mchapa kazi siwezi mchukia
Ubunifu uko wapi sasa hapo??
 
Mpe sifa the guy is creative bana, kwa kifupi hakuna jambo jipya chini ya jua but innovations made it simple!
Creative gani? Creative ziko China huko wanako tuzalishia kila kitu. Creative Arusha imejaaa uchafu,pembezoni mwa Barabara zimejaa momonyoko wa udogo ndio creativities? Creativities kwa wajinga kama wewe hapo
 
Ubunifu kwa wajinga, Taifa likisha jaaa mbumbu lazima waone ni creativities,
Hakika ni ukilza wa hali ya juu sana watu wanaona kuleta comedian wa Kenya, na kufunga mtaa watu wale nyama na kunywa bia za bei rahisi eti ni ubunifu
 
Hakuna Haja Ya Ukazaji Fuvu,,Mungu Ajalie Afya Ya Mifupa,,,Damu Na Nyama,,Tukale Nyama
 
Hakuna Haja Ya Ukazaji Fuvu,,Mungu Ajalie Afya Ya Mifupa,,,Damu Na Nyama,,Tukale Nyama
nakazia, tunakomaza fuvu ile iweje, mwenye wazo bunifu apeleke kwa rc january milango iko waz, hii ni dec tunakula bata, hutaki jifungie ndani na mkeo na wanao,
 
Inaonekana Arusha changamoto Yao kubwa ilikuwa ni kuziona Landrovers, kunywa bia, na starehe. Masuala mengine walishamaliza kitambo
changamoto hazijawai isha dunian, na hatuwez kukataa kuish kisa tuna masuala mengine, tafuta sana pesa/maisha mazur kwako na kizaz chako ila usisahau kuishi shekhe wangu.
 
Arusha jiji
Nilidhani yeye ni Mkuu wa Mkoa, ila nashangaa kila wakati anaongelea tu Arusha mjini. Anafanya vitu ambavyo in a long run havina msaada wowote, just to get him trending. Arusha ni zaidi ya hapo mjini, he has to invest his time dealing with the other parts of Arusha (which is where most struggling citizens are residing at) as well
 
Back
Top Bottom