Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Huyu Jamaa sema ana makovu tu ila kwa vitu anavyofanya anjitahidi aisee...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna innovation inawagusa wote, kila mmoja atanufaika kwa wakati sahihi, na ndio maana kungekuwa na innovators wengi ktk nyanja tofauti basi majority wangenufaika coz maeneo mengi yangeguswa!Kumbuka vitu vyote anavyofanya vinahitaji matumizi hakuna innovation ya kusaidia wasio kuwa na hizo Hela Hilo jambo umelizingatia
Arusha jijiAnaongelea Mkoa wa Arusha, au anaongelea Arusha Mjini
Kila kitu wanaweka uchama mbeleWabongo hao mkuu!!!!! Chuki na wivu ndiyo vimejaa kwenye maisha Yao
Kuna muda wa kurefresh pia kwhy wewe ufurahi kisa una matatizo pili msitusemee watu wa arushaInaonekana Arusha changamoto Yao kubwa ilikuwa ni kuziona Landrovers, kunywa bia, na starehe. Masuala mengine walishamaliza kitambo
Kucheza na akili za mazezeta wa hili Taifa, wajinga hawana muda wa kuhoji mambo serious yanayo husu naisha yao.Habari JF ,Arusha kumenoga , kuanzia tar 28/12/2024 kutakuwa Churchill show kutakuwa na mtaa wa Bia na zitauzwa kwa bei rahisi , kutakuwa na mtaa wa Nyama Choma .
Tar 31 ni mkesha mkubwa .
Hakika mkoa wa Arusha unatangazwa vilivyo .
Ubunifu uko wapi sasa hapo??Sijawahi kuwa ccm mkuu ,nina kadi ya CDM na niko tayari kumsupport Mwenyekiti ajaye Tundu lissu .
Makonda ni mbunifu lakini pia ni mchapa kazi siwezi mchukia
Creative gani? Creative ziko China huko wanako tuzalishia kila kitu. Creative Arusha imejaaa uchafu,pembezoni mwa Barabara zimejaa momonyoko wa udogo ndio creativities? Creativities kwa wajinga kama wewe hapoMpe sifa the guy is creative bana, kwa kifupi hakuna jambo jipya chini ya jua but innovations made it simple!
Ubunifu kwa wajinga, Taifa likisha jaaa mbumbu lazima waone ni creativities,Ubunifu uko wapi sasa hapo??
Hakika ni ukilza wa hali ya juu sana watu wanaona kuleta comedian wa Kenya, na kufunga mtaa watu wale nyama na kunywa bia za bei rahisi eti ni ubunifuUbunifu kwa wajinga, Taifa likisha jaaa mbumbu lazima waone ni creativities,
mkuu sio kila kitu kiwe na mtaa, we nenda mtaa wa bia totoz utawakuta, mtaa wa nyama choma totoz zitakuwepo, wewe tu.Mtaa wa hizi toto ni wapi huko ?View attachment 3181406
nakazia, tunakomaza fuvu ile iweje, mwenye wazo bunifu apeleke kwa rc january milango iko waz, hii ni dec tunakula bata, hutaki jifungie ndani na mkeo na wanao,Hakuna Haja Ya Ukazaji Fuvu,,Mungu Ajalie Afya Ya Mifupa,,,Damu Na Nyama,,Tukale Nyama
changamoto hazijawai isha dunian, na hatuwez kukataa kuish kisa tuna masuala mengine, tafuta sana pesa/maisha mazur kwako na kizaz chako ila usisahau kuishi shekhe wangu.Inaonekana Arusha changamoto Yao kubwa ilikuwa ni kuziona Landrovers, kunywa bia, na starehe. Masuala mengine walishamaliza kitambo
Shukranimkuu sio kila kitu kiwe na mtaa, we nenda mtaa wa bia totoz utawakuta, mtaa wa nyama choma totoz zitakuwepo, wewe tu.
Nilidhani yeye ni Mkuu wa Mkoa, ila nashangaa kila wakati anaongelea tu Arusha mjini. Anafanya vitu ambavyo in a long run havina msaada wowote, just to get him trending. Arusha ni zaidi ya hapo mjini, he has to invest his time dealing with the other parts of Arusha (which is where most struggling citizens are residing at) as wellArusha jiji