mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Huyu dogo naye akili hazimo. Wataalam wa Afya wanasisitiza kujiepusha mikusanyiko. Yeye ndo kwanza anakusanya watu na kuwahutubia. Kwa mtindo huu watu watapukutika kama kuku wa kideri!Wenye nyumba watapewa fidia ya kodi wanayo punguza?o
Hard worker huwa hasaidiwi na wachina kupata kakinda hahaaSina cha kuogopa, huo ndio uhalisia mkuu, hon makonda is a hard worker
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan hata mm niliona huo mkusanyiko nikashangaaa SanaHili swala lamikusanyiko huyu kiongozi halizingatii kabisa yeye? "If your not a part of solution, Your a part of a problem"
correctedRekebisha, ni you are, not your....
Huyu dogo naye akili hazimo. Wataalam wa Afya wanasisitiza kujiepusha mikusanyiko. Yeye ndo kwanza anakusanya watu na kuwahutubia. Kwa mtindo huu watu watapukutika kama kuku wa kideri!
Mtu mwenyewe anaongea kwa kutumia ulimi unadhani anajua alifanyalo?Laughter!Sasa huo sio mkusanyiko?Tuko serious kweli?
Huyu jamaa ni wa kupuuza na anapoitisha mkusanyiko inatakiwa watu wakimbie. Wakikaa kusikiliza ujinga wake anajiona ana akili na kumbe hana. Kupuliza dawa haisaidii hata kidogo kama mikusanyiko isiyo na umuhimu kama huo ulioutengezea inaendelea! Ni Mungu tu wakutuepushe lakini mwezi ujao tunaweza kuwa na kipindi kibaya sana katika historia ya nchi yetu. Hii corona siyo ya kuifanyia usanii wa kijinga namna hii.Wenye nyumba watapewa fidia ya kodi wanayo punguza?
Hakumuongelea Mbowe na familia yake? Monotonous!🤣🤣🤣🤣
Hatua nzuri dhidi ya mapambano juu ya corona nichukue nafasi hii kumpongeza mkuu wa mkoa pamoja na timu ya watalamu ,vyombo ya habari na wadau wote...TUNAWE MIKONO KWA MAJI YANAYOTIRIRIKA KWA SABUNI, TUEPUKE MKUSANYIKO,BILA KUSAHAU KUTUMIA VITAKATISHA MIKONO ENDAPO MAJI HAYATOKUA KARIBURC Makonda ametembelea kituo cha daladala Makumbusho na kuzungumza na wadau wa kituo hicho wakiwemo madereva, makondakta, wafanyabiashara na abiria wanaosubiri kusafiri.
Makonda ameahidi zoezi la kupuliza dawa mitaani litakuwa endelevu na kuwataka wananchi wawe na nidhamu kwenye swala zima la usafi.
Wakati huo huo, Paul Makonda leo April 1, 2020 ameruhusu Bajaji na Bodaboda zote kuingia katikati ya Jiji hilo ili kukabiliana na Adha ya Usafiri wanayokabiliwa wananchi katika kipindi hiki cha kupambana na Ugonjwa wa #Corona.
Makonda ameruhusu bodaboda na bajaji kuingia katikati ya Jiji
Makonda amewataka wenye nyumba za kupanga kupunguza kodi kwa 50%
Makonda amesema yeye hana mamlaka ya kuwaamuru Mwendo kasi hilo ni jukumu la waziri Jaffo
Wasiokuwa na shughuli za maana basi wabaki majumbani wasizurure hovyo.
Kama huna safari ya lazima kwenda mkoani basi usisafiri na kama uko mkoani usije Dar kama huna sababu za msingi.
View attachment 1405771
Amesema Ndege moja ya Ethiopia inaingia kwa ajili ya watanzania ambao wanahitaji kurudi nyumbani ,sasa wakishaingia watafikia karantini kwa ajili ya uangalizi kwa hiyo mtu yeyote asiende Uwanja Wa Ndege watapokelewa na ofisi ya Mkoa na kupelekwa Karantini kwa siku 14.
“Mungu akipenda tutakuwa na helkopta zitapita kumwaga dawa za kuua wadudu na gari pia zitapita kila sehemu nitatumia mamlaka yangu kufanya kazi". Amesema RC Makomda
Huyu jamaa ni wa kupuuza na anapoitisha mkusanyiko inatakiwa watu wakimbie. Wakikaa kusikiliza ujinga wake anajiona ana akili na kumbe hana. Kupuliza dawa haisaidii hata kidogo kama mikusanyiko isiyo na umuhimu kama huo ulioutengezea inaendelea! Ni Mungu tu wakutuepushe lakini mwezi ujao tunaweza kuwa na kipindi kibaya sana katika historia ya nchi yetu. Hii corona siyo ya kuifanyia usanii wa kijinga namna hii.