Misukule ya chadema itakupingaSina cha kuogopa, huo ndio uhalisia mkuu, hon makonda is a hard worker
Sent using Jamii Forums mobile app
Bashite????Sina cha kuogopa, huo ndio uhalisia mkuu, hon makonda is a hard worker
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp huyo anayeleta mikusanyiko isiyo na lazima a.k.a BashiteHatua nzuri dhidi ya mapambano juu ya corona nichukue nafasi hii kumpongeza mkuu wa mkoa pamoja na timu ya watalamu ,vyombo ya habari na wadau wote...TUNAWE MIKONO KWA MAJI YANAYOTIRIRIKA KWA SABUNI, TUEPUKE MKUSANYIKO,BILA KUSAHAU KUTUMIA VITAKATISHA MIKONO ENDAPO MAJI HAYATOKUA KARIBU
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Angekiwa ametenda la maana ni muhimu nguo kupasiwa kila wakati na matumizi ya maji yame ongezeka!Pia angeomba na punguzo la Umeme na maji kwani ni janga la wote
Hata vat ikifutwa kwa miezi mitatu nalo neno au mnaonaje
Sent from my iPhone using Tapatalk
Duh siku 14 za matokeo positive!Nitakujibu baada ya wiki mbili haya maswali yako.
Angekiwa ametenda la maana ni muhimu nguo kupasiwa kila wakati na matumizi ya maji yame ongezeka!
Mkuu kuna jina linaonekana hapo kwenye hiyo foto ni rahisi kuiexpose ID yako.RC Makonda ametembelea kituo cha daladala Makumbusho na kuzungumza na wadau wa kituo hicho wakiwemo madereva, makondakta, wafanyabiashara na abiria wanaosubiri kusafiri.
Makonda ameahidi zoezi la kupuliza dawa mitaani litakuwa endelevu na kuwataka wananchi wawe na nidhamu kwenye swala zima la usafi.
Wakati huo huo, Paul Makonda leo April 1, 2020 ameruhusu Bajaji na Bodaboda zote kuingia katikati ya Jiji hilo ili kukabiliana na Adha ya Usafiri wanayokabiliwa wananchi katika kipindi hiki cha kupambana na Ugonjwa wa #Corona.
Makonda ameruhusu bodaboda na bajaji kuingia katikati ya Jiji
Makonda amewataka wenye nyumba za kupanga kupunguza kodi kwa 50%
Makonda amesema yeye hana mamlaka ya kuwaamuru Mwendo kasi hilo ni jukumu la waziri Jaffo
Wasiokuwa na shughuli za maana basi wabaki majumbani wasizurure hovyo.
Kama huna safari ya lazima kwenda mkoani basi usisafiri na kama uko mkoani usije Dar kama huna sababu za msingi.
View attachment 1405771
Amesema Ndege moja ya Ethiopia inaingia kwa ajili ya watanzania ambao wanahitaji kurudi nyumbani ,sasa wakishaingia watafikia karantini kwa ajili ya uangalizi kwa hiyo mtu yeyote asiende Uwanja Wa Ndege watapokelewa na ofisi ya Mkoa na kupelekwa Karantini kwa siku 14.
“Mungu akipenda tutakuwa na helkopta zitapita kumwaga dawa za kuua wadudu na gari pia zitapita kila sehemu nitatumia mamlaka yangu kufanya kazi". Amesema RC Makomda
Tena katika hili wataungana wote kupinga!Mweeh, hawa wabunge hawawezi kukubali
Ni ushauri tu.
RC Makonda amewaomba wenye nyumba na majengo kuwapunguzia kodi wapangaji wao kwa 50% katika kipindi hiki cha ugumu wa uchumi unaosababishwa na Corona.
Ni ubunifu mzuri.
Naomba RC Makonda aifikishe Nia hii njema pale bungeni kwa Spika Ndugai ili awapunguzie posho wabunge wanaohudhuria bunge kwa mafungu tena kwa saa 4 tu kwa siku yenye saa 24.
Nawasilisha
Maendeleo hayana vyama!

Wewe kazini kwako umepunguziwa mshahara,na muda wa kufanya kazi?Ni ushauri tu.
RC Makonda amewaomba wenye nyumba na majengo kuwapunguzia kodi wapangaji wao kwa 50% katika kipindi hiki cha ugumu wa uchumi unaosababishwa na Corona.
Ni ubunifu mzuri.
Naomba RC Makonda aifikishe Nia hii njema pale bungeni kwa Spika Ndugai ili awapunguzie posho wabunge wanaohudhuria bunge kwa mafungu tena kwa saa 4 tu kwa siku yenye saa 24.
Nawasilisha
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee sijazungumzia mshahara hapa.