Wewe unafikiri makonda anafuata au anajua sheria? Alipovamia clouds akiwa na silaha alifuata sheria? Alipomdanganya GSM magufuli anataka amjengee nyumba alifuata sheria? Alipomtuhumu Mbowe na wengine wanafanya na wanatumia madawa ya kulevya, aliwapeleka kwenye vyombo vya sheria? Kama anajua sheria, Tundu Lissu alipomtuhumu kuhusika kwenye lile shambulio, uliona akimchukulia Lissu hatua yoyote?Wewe una akili na unaijua sheria kulko hao 13 waliosimamishwa π this is crazy man.
Hoja za mhuni mmoja aliyeshiba makande.Wewe unafikiri makonda anafuata au anajua sheria? Alipovamia clouds akiwa na silaha alifuata sheria? Alipomdanganya GSM magufuli anataka amjengee nyumba alifuata sheria? Alipomtuhumu Mbowe na wengine wanafanya na wanatumia madawa ya kulevya, aliwapeleka kwenye vyombo vya sheria? Kama anajua sheria, Tundu Lissu alipomtuhumu kuhusika kwenye lile shambulio, uliona akimchukulia Lissu hatua yoyote?
Labda Tanzania bara nchi isiyokuwepo ktk ramani ya dunia ila vichwani vyenu ninyi mnaoiita Tanganyika hivyo. Nchi yetu haiitwi Tanzania bara bali Tanganyika kama tumedangnyana wengine wakabakiza jina lao na sisi kulipoteza la kwetu. Ndio inaonyesha udhaifu wetu Watanganyika. Ukitaka kujua Kuwa Tanganyika ipo wote waliozaliwa kabla ya Muungano vitambulisho vya NIDA WAMEJAZA WALIZALIWA TANGANYIKA. NDIO UJUE NCHI INAITWA TANGANYIKA.Makonda awe raisi wa nchi tanzania bara
Hv uliambiwa Makonda ni malaika!? Ni nani anaeifata hyo sheria unayoisema ww!? Nyie mtabaki kumchukia hvohvo na yeye wala hajali na ameshawaambia hata mkimtoa kwenye uongozi kbs ni sawa tu ila kikubwa anawapga spana wapuuz wote.Wewe unafikiri makonda anafuata au anajua sheria? Alipovamia clouds akiwa na silaha alifuata sheria? Alipomdanganya GSM magufuli anataka amjengee nyumba alifuata sheria? Alipomtuhumu Mbowe na wengine wanafanya na wanatumia madawa ya kulevya, aliwapeleka kwenye vyombo vya sheria? Kama anajua sheria, Tundu Lissu alipomtuhumu kuhusika kwenye lile shambulio, uliona akimchukulia Lissu hatua yoyote?
Ni kweli raia wetu sio critical thinkers, matter of facts hata elimu yetu haiwafundish kuwa critical thinkers badala yake wana kariri.Ana trend kumpita katibu wa chama waziri mkuu na mwenye kiti wake wasipo mdhibiti kwasasa atakua naushawishi mkubwa wakati wa uchanguzi........raia wetu sio critical thinkers 80% itamuamini na kumsikiliza.
Ndo hapo nlikuwa najiuliza hii ikoje.kesho wanaenda mahakaman tunalipaMkuu wa mkoa hana mamlaka yoyote kumsimamisha kazi mtumishi wa umma. Rejeeni sheria ya utumishi wa umma na kanuni zake za mwaka 2022
Kwenye urais bado, kuna vitu ana luck. Akiweza kuviongeza labdaMakonda safi sana ikiwezekana uwe president wa nchi yetu mana hii inchi yetu imezidi wapigaji tumua hao kabisa
Hii ndio akili ORIGINAL ya mtu mweusi, kwahiyo wamdhibiti ili asiibue uozo kama huo wa wizi wa milioni 600!?,au ili asiwazidi umaarufu!?, kwanini usiwashauri nao wafanye kazi kuibua uozo na ku solve matatizo ya wananchi!?,au unawaza uchaguzi na ku gain credit!?,Kuna wakati huwa nadhani wazungu wapo sahihi kuwaita watu weusi MONKEYS ni sababu ya akili kama hizi. Mtu anatatua kero za wananchi, mwingine anawaza credit na uchaguzi.Ana trend kumpita katibu wa chama waziri mkuu na mwenye kiti wake wasipo mdhibiti kwasasa atakua naushawishi mkubwa wakati wa uchanguzi........raia wetu sio critical thinkers 80% itamuamini na kumsikiliza.
Ila demomrasia is the bitch sijui ni Sheria yaani mtu ama watu wameiba unaleta blaha blaha yaani Hawa wezi wa Mali na pesa za umma huwa ni wauaji,ivi unajua ni watu ama vijana wangapi wanakufa indirect kwa wizi ,uzembe na ufisadi unaotokea nchini kwetu.Mkuu wa mkoa hana mamlaka yoyote kumsimamisha kazi mtumishi wa umma. Rejeeni sheria ya utumishi wa umma na kanuni zake za mwaka 2022
Sure sure. Kiulisia Kila nachofanya Kila siku ni namna ya kuweza kusepa afrika..Hii ndio akili ORIGINAL ya mtu mweusi, kwahiyo wamdhibiti ili asiibue uozo kama huo wa wizi wa milioni 600!?,au ili asiwazidi umaarufu!?, kwanini usiwashauri nao wafanye kazi kuibua uozo na ku solve matatizo ya wananchi!?,au unawaza uchaguzi na ku gain credit!?,Kuna wakati huwa nadhani wazungu wapo sahihi kuwaita watu weusi MONKEYS ni sababu ya akili kama hizi. Mtu anatatua kero za wananchi, mwingine anawaza credit na uchaguzi.
AZIIIIIIIIZZZKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII IMOOOOOOOOOMkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewasimamisha Kazi Watumishi 13 wa sekta ya Afya akiwemo boss Wao Dr Mbuya kwa ubadhirifu wa Fedha za Umma tsh million 600
Source Mwananchi
Vijana Msilale bado Mapambano ππ₯
Usemacho Ni SahihiAna trend kumpita katibu wa chama waziri mkuu na mwenye kiti wake wasipo mdhibiti kwasasa atakua naushawishi mkubwa wakati wa uchanguzi........raia wetu sio critical thinkers 80% itamuamini na kumsikiliza.
huyu mwamba Mungu amlinde tu kwa kweli.Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewasimamisha Kazi Watumishi 13 wa sekta ya Afya akiwemo boss Wao Dr Mbuya kwa ubadhirifu wa Fedha za Umma tsh million 600
Source Mwananchi
Vijana Msilale bado Mapambano ππ₯
Mkuu hizo akili halisi za mtu mweusi hasa mtanzania, kuna mtu kaiba madawa kama ya milioni 100 Kuna watoto kibao wamekosa dawa pengine wamekufa, kiongozi mmoja kwenye ziara anaibua uozo na kumsimamisha kazi. Zinatokea k.enge fulani zinamtetea aliyeiba sijui sheria mara demokrasia na blah blah kibao. Mpaka unajiuliza ni binadamu wenzenu au ni misukule fulani!???Ila demomrasia is the bitch sijui ni Sheria yaani mtu ama watu wameiba unaleta blaha blaha yaani Hawa wezi wa Mali na pesa za umma huwa ni wauaji,ivi unajua ni watu ama vijana wangapi wanakufa indirect kwa wizi ,uzembe na ufisadi unaotokea nchini kwetu.
Afrika kusonga mbele itabidi tumlete mchina tumpe nchi atawale kidikteta with time watu baadaye wataona kijeshi Pelee nchi itasonga mbele
Na wewe kumbe ni mpuuzi tu, kwahiyo aache akae ofisini ale mshahara kama wengine ili asi trend kumzidi Majaliwa, Nchimbi na mama anayeelekea South Korea muda wowote!?, kwanini nao wasiingie front ku solve matatizo ya wananchi!?,. Jamii forums imejaa vilaza siku hizi..Usemacho Ni Sahihi
Hii ni aina nyingine ya uchawi. Hadharani kabisa imagine!Ana trend kumpita katibu wa chama waziri mkuu na mwenye kiti wake wasipo mdhibiti kwasasa atakua naushawishi mkubwa wakati wa uchanguzi........raia wetu sio critical thinkers 80% itamuamini na kumsikiliza.