RC Makonda awasimamisha Kazi watumishi 13 Arumeru kwa ubadhirifu wa tsh million 600, yumo Mganga mkuu wa Halmashauri!

Wewe una akili na unaijua sheria kulko hao 13 waliosimamishwa 😅 this is crazy man.
Wewe unafikiri makonda anafuata au anajua sheria? Alipovamia clouds akiwa na silaha alifuata sheria? Alipomdanganya GSM magufuli anataka amjengee nyumba alifuata sheria? Alipomtuhumu Mbowe na wengine wanafanya na wanatumia madawa ya kulevya, aliwapeleka kwenye vyombo vya sheria? Kama anajua sheria, Tundu Lissu alipomtuhumu kuhusika kwenye lile shambulio, uliona akimchukulia Lissu hatua yoyote?
 
Hoja za mhuni mmoja aliyeshiba makande.
 
Makonda awe raisi wa nchi tanzania bara
Labda Tanzania bara nchi isiyokuwepo ktk ramani ya dunia ila vichwani vyenu ninyi mnaoiita Tanganyika hivyo. Nchi yetu haiitwi Tanzania bara bali Tanganyika kama tumedangnyana wengine wakabakiza jina lao na sisi kulipoteza la kwetu. Ndio inaonyesha udhaifu wetu Watanganyika. Ukitaka kujua Kuwa Tanganyika ipo wote waliozaliwa kabla ya Muungano vitambulisho vya NIDA WAMEJAZA WALIZALIWA TANGANYIKA. NDIO UJUE NCHI INAITWA TANGANYIKA.
 
Wewe unafikiri makonda anafuata au anajua sheria? Alipovamia clouds akiwa na silaha alifuata sheria? Alipomdanganya GSM magufuli anataka amjengee nyumba alifuata sheria? Alipomtuhumu Mbowe na wengine wanafanya na wanatumia madawa ya kulevya, aliwapeleka kwenye vyombo vya sheria? Kama anajua sheria, Tundu Lissu alipomtuhumu kuhusika kwenye lile shambulio, uliona akimchukulia Lissu hatua yoyote?
Hv uliambiwa Makonda ni malaika!? Ni nani anaeifata hyo sheria unayoisema ww!? Nyie mtabaki kumchukia hvohvo na yeye wala hajali na ameshawaambia hata mkimtoa kwenye uongozi kbs ni sawa tu ila kikubwa anawapga spana wapuuz wote.
 
Ni
Ana trend kumpita katibu wa chama waziri mkuu na mwenye kiti wake wasipo mdhibiti kwasasa atakua naushawishi mkubwa wakati wa uchanguzi........raia wetu sio critical thinkers 80% itamuamini na kumsikiliza.
Ni kweli raia wetu sio critical thinkers, matter of facts hata elimu yetu haiwafundish kuwa critical thinkers badala yake wana kariri.
ndio maana akitokea kiongoz mwenye thinking kama ya makonda na akina jpm inakuwa ni jambo jipya, asipunguzwe kazi but awekewe mipaka.

Ila to be honest arusha ni as if ilikuwa haina viongozi
 
Makonda safi sana ikiwezekana uwe president wa nchi yetu mana hii inchi yetu imezidi wapigaji tumua hao kabisa
Kwenye urais bado, kuna vitu ana luck. Akiweza kuviongeza labda
 
Ana trend kumpita katibu wa chama waziri mkuu na mwenye kiti wake wasipo mdhibiti kwasasa atakua naushawishi mkubwa wakati wa uchanguzi........raia wetu sio critical thinkers 80% itamuamini na kumsikiliza.
Hii ndio akili ORIGINAL ya mtu mweusi, kwahiyo wamdhibiti ili asiibue uozo kama huo wa wizi wa milioni 600!?,au ili asiwazidi umaarufu!?, kwanini usiwashauri nao wafanye kazi kuibua uozo na ku solve matatizo ya wananchi!?,au unawaza uchaguzi na ku gain credit!?,Kuna wakati huwa nadhani wazungu wapo sahihi kuwaita watu weusi MONKEYS ni sababu ya akili kama hizi. Mtu anatatua kero za wananchi, mwingine anawaza credit na uchaguzi.
 
Mkuu wa mkoa hana mamlaka yoyote kumsimamisha kazi mtumishi wa umma. Rejeeni sheria ya utumishi wa umma na kanuni zake za mwaka 2022
Ila demomrasia is the bitch sijui ni Sheria yaani mtu ama watu wameiba unaleta blaha blaha yaani Hawa wezi wa Mali na pesa za umma huwa ni wauaji,ivi unajua ni watu ama vijana wangapi wanakufa indirect kwa wizi ,uzembe na ufisadi unaotokea nchini kwetu.

Afrika kusonga mbele itabidi tumlete mchina tumpe nchi atawale kidikteta with time watu baadaye wataona kijeshi Pelee nchi itasonga mbele
 
Hii ndio akili ORIGINAL ya mtu mweusi, kwahiyo wamdhibiti ili asiibue uozo kama huo wa wizi wa milioni 600!?,au ili asiwazidi umaarufu!?, kwanini usiwashauri nao wafanye kazi kuibua uozo na ku solve matatizo ya wananchi!?,au unawaza uchaguzi na ku gain credit!?,Kuna wakati huwa nadhani wazungu wapo sahihi kuwaita watu weusi MONKEYS ni sababu ya akili kama hizi. Mtu anatatua kero za wananchi, mwingine anawaza credit na uchaguzi.
Sure sure. Kiulisia Kila nachofanya Kila siku ni namna ya kuweza kusepa afrika..
Wanakuua ,wanakurudisha nyuma ili usiwazidi,wanakuwa na chuki kisa tu unachanja mbuga
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewasimamisha Kazi Watumishi 13 wa sekta ya Afya akiwemo boss Wao Dr Mbuya kwa ubadhirifu wa Fedha za Umma tsh million 600

Source Mwananchi

Vijana Msilale bado Mapambano 😂🔥
AZIIIIIIIIZZZKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII IMOOOOOOOOO
 
Ana trend kumpita katibu wa chama waziri mkuu na mwenye kiti wake wasipo mdhibiti kwasasa atakua naushawishi mkubwa wakati wa uchanguzi........raia wetu sio critical thinkers 80% itamuamini na kumsikiliza.
Usemacho Ni Sahihi
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewasimamisha Kazi Watumishi 13 wa sekta ya Afya akiwemo boss Wao Dr Mbuya kwa ubadhirifu wa Fedha za Umma tsh million 600

Source Mwananchi

Vijana Msilale bado Mapambano 😂🔥
huyu mwamba Mungu amlinde tu kwa kweli.
anafanya kazi nzuri sana.
bahati mbaya waovu wana umoja sana!
 
Ila demomrasia is the bitch sijui ni Sheria yaani mtu ama watu wameiba unaleta blaha blaha yaani Hawa wezi wa Mali na pesa za umma huwa ni wauaji,ivi unajua ni watu ama vijana wangapi wanakufa indirect kwa wizi ,uzembe na ufisadi unaotokea nchini kwetu.

Afrika kusonga mbele itabidi tumlete mchina tumpe nchi atawale kidikteta with time watu baadaye wataona kijeshi Pelee nchi itasonga mbele
Mkuu hizo akili halisi za mtu mweusi hasa mtanzania, kuna mtu kaiba madawa kama ya milioni 100 Kuna watoto kibao wamekosa dawa pengine wamekufa, kiongozi mmoja kwenye ziara anaibua uozo na kumsimamisha kazi. Zinatokea k.enge fulani zinamtetea aliyeiba sijui sheria mara demokrasia na blah blah kibao. Mpaka unajiuliza ni binadamu wenzenu au ni misukule fulani!???
 
Usemacho Ni Sahihi
Na wewe kumbe ni mpuuzi tu, kwahiyo aache akae ofisini ale mshahara kama wengine ili asi trend kumzidi Majaliwa, Nchimbi na mama anayeelekea South Korea muda wowote!?, kwanini nao wasiingie front ku solve matatizo ya wananchi!?,. Jamii forums imejaa vilaza siku hizi..
 
Ana trend kumpita katibu wa chama waziri mkuu na mwenye kiti wake wasipo mdhibiti kwasasa atakua naushawishi mkubwa wakati wa uchanguzi........raia wetu sio critical thinkers 80% itamuamini na kumsikiliza.
Hii ni aina nyingine ya uchawi. Hadharani kabisa imagine!

Hivi, kuna ubaya gani Makonda akiendelea kuwa Makonda bila ninyi kumuhesabu Kama threat haswa kwa mamlaka ya Urais na wateule wake?

Kwenye system ya family yenu, hakuna mchapa kazi zaidi yenu na mtii kwa wazazi zaidi yenu? Nae mnamroga?

If only wote tungemchukulia positively huyu Makonda, who knows?! Maybe angekua muarubaini wa matatizo mengi katika maeneo mengi hapa nchini kiasi wateule wengi wangepunguziwa mizigo na kurahisishiwa kazi na hatimaye the main goal ya Tanzania yenye Ustawi likawa attained!

Au ndio tuendelee kupingana tufanye Siasa kutimiza wajibu kwa “mabwana zetu?

#TzPolifix
 
Wizi na wezi wa nchi hii wanaendeshwa na pumnzi pamoja na uhai wa CCM,wizi na wezi wa nchi hii hawawezi wakamalizwa na Makonda bila CCM kumalizwa kwanza kwa kuwa hata wezi wenyewe wameajiriwa kwa kupitia card ya CCM,wasiokuwa na card ya CCM ndio wanasota mitaani kwa kukosa ajira.
 
Angeanza kwanza na huyo mkuu wa wilaya ya arumeru Emanuela Kaganda maana ndiye anaelea Mafisadi.
 
Back
Top Bottom