Wewe unafikiri makonda anafuata au anajua sheria? Alipovamia clouds akiwa na silaha alifuata sheria? Alipomdanganya GSM magufuli anataka amjengee nyumba alifuata sheria? Alipomtuhumu Mbowe na wengine wanafanya na wanatumia madawa ya kulevya, aliwapeleka kwenye vyombo vya sheria? Kama anajua sheria, Tundu Lissu alipomtuhumu kuhusika kwenye lile shambulio, uliona akimchukulia Lissu hatua yoyote?Wewe una akili na unaijua sheria kulko hao 13 waliosimamishwa 😅 this is crazy man.