RC Makonda: Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa

Unawaonea gere walimu?
Acha professionals wengine wade tu walimu watawafundisha tutapata hao madaktari sijui mainginia sijui wagavi na wanasiasa
Imagine wakifa walimu nani wanafundisha?
Hii govt ikon very clever walimu pumzikeni hiki kisanga kipite mtarudi kuendelea kutengeneza hao other proffesionals
 
umeandika kwa uoga, bora hata usingeandika, kwa hiyo watu wachangie kuhusu RC yupi na kakosea nini? ukiwa humu jaribu kuwa jasiri kwa kike unachokiamini!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli,katika mitandao ya kijamii ni lazima kuwaza mara mbili kabla ya kuandika na ni kweli mimi ni muoga ila nashukuru kama mmeligundua hilo.
 
Mpuuzi huyu, hata haelewi chochote kuhusu Covid 19 na tahadhari zinazopaswa kuchukuliwa ili Kupunguza kasi ya maambukizi
 
Mtanzania mwenzangu nakushauri ukae tu nyumbani kama huna ulazima wa kutoka, Corona is real, people dying jamani,
Kama una kieneo kwako panda hata bustan ya mboga mboga itakukimu, uchumi umeshake duniani.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
Kabisa bata liliwe time yao hii
 
Mtanzania mwenzangu nakushauri ukae tu nyumbani kama huna ulazima wa kutoka, Corona is real, people dying jamani,
Kama una kieneo kwako panda hata bustan ya mboga mboga itakukimu, uchumi umeshake duniani.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
Where?
 
Rais wa Brazil alishaawambia wanachi wake wachape kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar ina rc
 
South Africa watu wameona watakufa njaa ni heri Corona iwaue na sio kufa kwa woga.

Kwa hizi nchi zetu na ufukara uliokithiri, kukaa ndani ni kufa kwa njaa tu hakuna kingine.
 
Hapo wewe unaonaje ? Yuko sahihi au amekosea

Angekuwa na hakiba ya maneno basi angekuwa sahihi asilimia 100 lakini mawazo yake yanaweza kuwa ndivyo sivyo..hataweza kuyarudisha kinywani tena
 
Mnachonga sana. Subirini. Muziki bado haujaanza.
 
Sasa kama analijua hilo kuwa wananchi hawatakiwi kuomba msaada serikalini inakuwaje serikali yenyewe inaomba msaada kwa mabeberu ili kukabiliana na hili gonjwa?
In God we Trust
 
Yawezekana au isiwezekane kuwa yuko sahihi maana kwa kauli za namna hiyo bila kuwa na akiba ya maneno ni hatari zaidi kuliko imani aliyonayo kuhusu corona..kauli yake isije kufatiliwa na maadui kutimiza uovu wao katika taifa letu maana wanaweza kufanya juu chini ili huu ugonjwa uenee nchi nzima ikiwa ni jitihada za kutukomoa ili wapate kuaminika kweli kwamba ugonjwa huu ni hatari sana
 
Hajawahi kutoa tamko likaeleweka kwa watanzania. Sijui kalaaniwa na nani
In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…