Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Rostam Aziz bado hajazileta.
Na hao wa Congo Street, Kariakoo watawafanyaje?. Kuna takeaway hapo kweli?Bado nyumba za ibada, muongozo kwenye kukaa!
Unanywea kwenye gari, ikiisha una beep barmaid anakuletea nyingine kwa parkingNafika Bar, Nanunua Beer, Naondoka.
DAH.
Hao ndiyo haswa kutafutia njia mbadala!Na hao wa Congo Street, Kariakoo watawafanyaje?. Kuna takeaway hapo kweli?
Oh! Kumbe mlikuwa wengi 🙊 haya imesharudiNje ya mada
Nilikuwa natamani nikuombe uirudishe hii avatar sema nikawa nasita ila naona leo imerudi.
Apendi dezo sema sio mbinafsi kama weweUsipende dezo.
Hapendi sio Apendi.A
Apendi dezo sema sio mbinafsi kama wewe