Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya ulichoambiwaAMESEMA TUVAE BARAKOA WAKATI BADO KUNA MIKUSANYIKO MIKUBWA WANAIANGALIA
Katika yale mabilioni yaliyochangwa kudhibiti corona wanunue hizo masks wagawe bure kisha ndiyo waje na hayo maamrisho yao.
Kwa sasa hili agizo haliepukiki, itabidi tuzoeeMwanzo alibeza sana kuhusu huu ugonjwa, na kuanza kujiona yeye ni Mungu mtu, kumbe kuna "MUNGU MKUU" Muumba mbingu na dunia
KabisaNa kanisani twende na barakoa au
. Tutasalije sasa [emoji23]
Jamani si ibada zisitishwe tu
[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mwanaume kamili anaogopa corona... hii ni aibu kwa RC Makonda!