RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

Take away ni ishu. Nikienda kununua viazi vitamu sokoni nikute muuzaji ameshavipima na kuviweka kwenye mfuko. Likewise maharage, ndizi, pilipili n.k. Kwenye super markets its ok. Lakini huku kwenye masoko yetu ngoja tuone itakuwaje.
 
Return Of Undertaker,
Huyu jamaa tatizo anaongea sana kuliko vitendo, kila siku marufu kufanya hiki,atakayefanya hivi tutamshughulikia mara sijui nini blah blah blah kibao halafu matokeo chanya HAKUNA.
 
Maji yamekorogeka tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walisema ni watu 4 watatoa maelekezo sasa huyu ni wa 5 au?? Manake inaonekana Dar sijui haikuhusika ?? Ndio mana zinatolewa hapa kauli tofauti kila mara
 
Atazigawa bure?
Subiri za bure ufe ndugu zako hawataona umezikwa wapi Get one for your self and your family Hawa viongozi ni wapuuzi ila kwa hapa tumpongezenjapo news zimechelewa
 
Walisema ni watu 4 watatoa maelekezo sasa huyu ni wa 5 au?? Manake inaonekana Dar sijui haikuhusika ?? Ndio mana zinatolewa hapa kauli tofauti kila mara
Hizi taarifa ni za Dsm tu kama si mkazi wa DAR NI NGUMUNKUMWELEWA
 
Huyu mtu alipashwa awe Mirembe by now
What an idiot
 
Kwa hiyo wasio na hizo mask wasitoke kwenda kuchapa kazi?si watakufa na njaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…