RC Makonda yupo na ataendelea kuwepo sana maana hakuna wa kumtumbua na baada ya uchaguzi mkuu atakuwa Waziri Mkuu au Waziri wa Ulinzi

Cognizant

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2022
Posts
626
Reaction score
1,409
Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala hatotumbuliwa kama mtakavyo na tena ndiyo ataaminiwa maradufu sawa?
 
Kuandika tu hujui
 
Ndiyo utufokee sasa?Wewe vipi?
 
Mwandiko wa Makonda huu, hatuna haja ya kusumbuka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…