RC Makonda yupo na ataendelea kuwepo sana maana hakuna wa kumtumbua na baada ya uchaguzi mkuu atakuwa Waziri Mkuu au Waziri wa Ulinzi

RC Makonda yupo na ataendelea kuwepo sana maana hakuna wa kumtumbua na baada ya uchaguzi mkuu atakuwa Waziri Mkuu au Waziri wa Ulinzi

Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala hatotumbuliwa kama mtakavyo na tena ndiyo ataaminiwa maradufu sawa?
Swala na yupo au hayupo sio hoja ya msingi ,swala ni jee? Anayo yafanya yanazingatia haki na utu?

Halafu makonda si kitu atatoka kama alivyo toka kwenye nyadhifa zingine msimkuze sana kama mtu mkuubwa au mungu wenu, nafasi ngumu kumtoa ilikuwa ni ya uenezi ,kama kaweza kutolewa kule tena kwa kwa kuvunja record basi hakuna pahala pakufanya pawe na ugumu kumtoa na hasa ikishindikana kumvumilia
 
Hutaamini macho yako.
Ukichukuwa tamko lake la kwenye msiba wa Lowasa ukachanganya na udhalilishaji wa mwanamke Longido unapata Makonda katumbuliwa
jana ulisema kuwa kuna insiders wamekuambia kuwa rc makonda anatumbuliwa rudi kwao waambie he is there to stay sawa?
 
Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala hatotumbuliwa kama mtakavyo na tena ndiyo ataaminiwa maradufu sawa?
Umerogwa wewe siyo bure
 
Back
Top Bottom