RC Mtaka ataka wanafunzi wanaofanya makosa wafukuzwe shule

Umenikumbusha kipindi cha JPM(RIP). Kuna siku JPM aliwahi kusema hivi; wakati wa vetting ya wakuu wa mikoa, alipelekewa taarifa kuwa eti huyu alikuwa hafai hata kuwa Mkuu wa Wilaya! Baada ya kumteua, JPM akagundua kuwa alikuwa ni mchapa kazi kuzidi karibia wakuu wa mikoa wote aliokuwa nao. Swali la kujiuliza: Kwa nini JPM alipelekewa taarifa feki wakati ukweli huyu mtu ni jembe? Chances ni kwamba waliompelekea taarifa feki JPM, walikuwa na nia ya kum-trigger ili aweze kufanya uchunguzi kuhusiana na mtu huyu kwa sababu walihofia kwamba kama wangepeleka taarifa sahihi, pengine JPM asingeweza kumteua.

Hiki ulichoongea hapa wewe, hata mimi nilishawahi kukiona siku nyingi.
Kuna siku waliwahi kufanya maigizo na mwenzake aliyekuwa Waziri wa Elimu kipindi hicho, na hapo ndipo nilipoanza kupata mashaka juu yao wote wawili
 
Maneno ya kujenga nidhamu namna hii we wamwita dicteta??Kwani kasema uongo kwa kwamba shule binafsi hazina mchezo na nidhamu kwa wanafunzi?Akiichangia cdm wewe inakuhusu nn au ni jinai.Mtaka ana uchungu na wanafunzi ndo maana siku moja alimtolea uvivu waziri wa Elimu kuhusu muda wa ziada wa kujifunza mashuleni.Mtaka haogopi kusema ukweli
 
Wewe ni mpumbavu na unastahiki kufukuzwa hapa JF
 
Acha kutetea ujinga ndugu, lazima sheria ziwe kali ili kudhibiti nidhamu Shuleni. It seems like una chuki binafsi na Mtaka kwa kumchonganisha na Mamlaka yake ya uteuzi.
Ila tambua hata akitumbuliwa sio wewe utakayeenda kukalia kiti chake. Acha roho mbaya na chuki zisizo za lazima ni dalili ya uchawi.
 
Kweli kuna baadhi ya watoto wameshinfikana kuliko kueneza ujinga huo kwe wengine bora afukuzwe watoto wengi utundu unasababishwa na wazazi wao hasa wanalelewa na mama tu
 
Kuna watu wanashabikia Mambo bila hata kutumia weledi
je mwanafuzi akipata mimba afukunzwe shule?
kuna makosa ya kumpa mwanafunzi muda ili arudie masomo au kumpa adhabu stahimili..je akiwa mwanao akifuzwa utafurahi.
Rc Ina element za Awamu iliyopita bila shaka.

Kizazi Cha watanzania kikiwa na idadi kubwa ya watu wasio na Elimu Ni hasara kwanza kwa Taifa Kabla ya kuwa hasara kwa familia zao.
Tuache ushabiki Rc...Anapeleka vibaya Sheria kwa kusimamia kwa mihemko ya misimamo mikali kitu' kinacho leta maumivu kwa watu wengi.
I wish if I was one who's appointed him!!
 
Akuna sheria ya mkuu wa mkoa ila kuna sheria za nchi izo ndo zinafuatwa
Sheria za nchi ndo msingi izo zingne anaongea ni siasa tu km yule makamu wa nchi

Akuna kitu kibaya km umaskini ukiwa maskini hujui haki zako na ata km unazijua utaogopa kuzidai

Mahakama zipo kwaajiri ya watu wajinga km uyo RC ambae ajui kuna sheria za nchi
 
Ujue wanasiasa waache kuongea siasa waongee ukwel wa mambo kuna mmoja alikataa watu kukaa foleni kisa yeye anapita
Ninavyoongea leo tumekaa lisaa zima tunangoja apite wakat juzi tu apa katoka kufoka
Ifikie hatua wanasiasa waache siasa kwenye protocal na sheria
Uyo anaongea akili na mawazo yake na sio sheria

Ukamfukuze shule mtoto wa maskini apa unaongeza umaskin au unapumguza umaskin sabu watoto wa matajiri na watu wenye uwezo watt wao wanasoma private school
Wa maskin ndo wanasoma izo shule ambazo yeye anasema wafukuzwe
Watoto weng wa maskin wameku na tabia mbaya kutokana na mazingira wamekulia na kulelewa shulen ndo sehemu pekee ya kuwalekebisha na kuwarudisha ktk misingi sasa tena shule wafukuzwe wataenda kujifunzia wapi JERA

Magereza kla sku wanalalamika mrundikani wa wafungwa af tena bado mnataka muwaongezee watoto wa maskini
 
Sasa unakuta mwanafunzi analazimisha kuvuta sigara darasani wakati wa break hiyo imekaaje hasa hapa Temeke secondary?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna wanafunzi wamepinda jaman.
 
Puumbavu. Kwahiyo hata kama ANAFIRA wenzake aachwe tu asifukuzwe?

Hili Taifa mbona litakuwa na WAJINGA wengi sana?
Si hadi upatikane ushahidii, sio kufukuzwa kiholelaaa.
 
Kakosa cha kuongea, ajiulize shule binafsi Kuna uhaba wa Waalimu au madarasa? Hakuna upumbavu sababu kila kitu kipo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…