johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #61
Duh.....umekasirika sana!Wachukue na wilaya zote zinazovuka maji za Mwanza zihamie huko, Sengerema na Ukerewe, Mwanza ni kubwa sana, waendelee kugawa na mikoa mingine hata dar waigawe mara mbili maana kwa Tanzania maendeleo yanafika vijijini haraka kwa njia hiyo mikoa mipya na kuipa maendeleo ya mikoa.
Tumuulize mzee Mgaya.Kwani RC ndio anayegawa mikoa?
Kwa kweli huu ujinga mama asiuendekeze. Tuna mengi ya kufanya, hela hatuna. Sasa ya nn kuongeza gharama za kuendesha serikali kwa kuongeza mkoa?Hivi bado Kuna wakuu wa mikoa ambao wana hamu sana ya kupigwa mti kimasihara?
Unawezaje kuja na hayo mapendekezo?
Hivi tunajua gharama za kuanzisha mkoa mpya na kuuendesha?
Kabla ya Chato kuwa mkoa, nadhani uindwe kwanza hii mikoa.
1. Butiama.
2. Kisarawe.
3. Lupaso.
4. Msoga.
Itifaki ni muhimu kuzingatiwa kwanza.
Nani amekuambia hela hakuna?Kwa kweli huu ujinga mama asiuendekeze. Tuna mengi ya kufanya, hela hatuna. Sasa ya nn kuongeza gharama za kuendesha serikali kwa kuongeza mkoa?
Hiyo kanda ya ziwa ina idadi kubwa ya watu lazima igawanyweSiye yetu macho
Mambo haya angeyataka mchonga meno leo hii Butiama ingekuwa mkoa
Huo mkoa wa Chato kama Meko kafa bila kuunda hautapata muundaji maana Chato mtu wao alikuwa huyo mmoja tu mwenye PhD yenye utata
mkoa wa chato utakua na makabila mseto hadi raha
Kama za Mkoa wa Mara zilivyokaliwa na wajaluo (Kenya) , Arusha wamasaai (Kenya) Mtwara na Lindi wamakonde (Nchumbiji) - Ruvuma wangoni na wayao (Malawi) - Kilimanjaro pia na Kagera upande wa mpakani na Uganda! Pia Mpanda,Katavi, Sumbawanga (Zambia) - Kigoma wamanyema (DRC).
Kwa hiyo Usishangae warundi na wanyarwandwa kuwapo. Ubaguzi ulishindwa hata Africa ya Kusini wakati wana bomu la nyuklia! Sembuse ubaguzi wako wa chuki tu na ujinga! Shame on you!
Wachukue na wilaya zote zinazovuka maji za Mwanza zihamie huko, Sengerema na Ukerewe, Mwanza ni kubwa sana, waendelee kugawa na mikoa mingine hata dar waigawe mara mbili maana kwa Tanzania maendeleo yanafika vijijini haraka kwa njia hiyo mikoa mipya na kuipa maendeleo ya mikoa.
Kahama ndiyo inastahili kuwa mkoa na siyo Chato. Hata hizo wilaya za Bukombe na Mbogwe zilimegwa kutoka wilaya ya Kahama. Sasa wameimega tena na kuanzisha wilaya za Ushetu na Ukune. Wilaya hizi zirudishwe kuifanya Kahama kuwa mkoa. Wanaweza kuimegea na wilaya za Ukene na Urambo. Kahama kimaendeleo na kiuchumi iko juu sana ukilinganisha na Chato. Mji tu wa Kahama ni zaidi ya Dodoma! Mzunguko wa fedha Kahama unazidi DSM. Shida ya watu wa Kahama ni wapole sana na hawajui kupiga kelele eg mbunge wao Kishimba yeye kila kitu poa tu. Hata kudai barabara ya kutoka Kahama hadi Urambo kupitia Ukune kujengwa kwa lami hajui wakati barabara hiyo ni ya muhimu sana ku tap utajiri wa eneo hili kwa manufaa ya taifa letu. Lina utajiri wa asali (nyuki), maziwa (ng'ombe), miwa (sukari), mahindi, mchele, mafuta (karanga), mahama, dhahabu na madini mbali mbali.
Hiyo wilaya ya chato iunganishwe na mkoa wa Bukoba ili uwanja wa ndege wa kimataifa wa chato uwe kwetu sisi wahaya wenye pesa, wasomi, wenye mapesa ya kutumia usafiri wa ndege tufwaidi. Vinginevyo hapo chato patakuwa magofu kama kule badolite nyumbani kwa marehemu tajiri dictator mobutu seseko wa zaire bhoojo.Mkuu wa mkoa wa Geita mh Rose amesema ombi la kuunda mkoa wa Chato likipita basu mkoa wa Geita utabakiwa na wilaya za Busanda, Nyang'wale na Geita yenyewe na Mbogwe
RC Rose amesema mkoa mpya wa Chato utapokea wilaya 1 kutoka Kigoma na 2 kutoka Kagera.
Kwa maana hiyo mkoa mpya wa Chato unaopendekezwa utakuwa na wilaya 5 ambazo ni Kakonko kutoka Kigoma, Bihalamuro na Ngara kutoka Kagera na Bukombe na Chato yenyewe kutoka Geita.
Chanzo: ITV habari!
Kazi Iendelee
Chuki ziliasisiwa na jiwe lenu.Shida yako ni unafiki na kujipendekeza.... Sasa chato ikitangulia kuwa mkoa unapungukiwa nini..? Na itifaki gani kama sio chuki tu zisizo na sababu....