Real estate business Tanzania inaelekea kufa kabisa, kwa sasa inapumulia mashine

Real estate business Tanzania inaelekea kufa kabisa, kwa sasa inapumulia mashine

Nilienda china plaza room kubwa kiasi ilikuwa ni usb 1000 kwa mwezi tena gorofani wapunguze bei tu zitapata watu
 
Shida ya majengo mengi ni gharama za uendeshaji na wamiliki wanataka kupata faida mara mbili!

Kwa mfano hayo majengo ya serikali inabidi waje na mbinu ya kuhakiksha majengo yanapata wateja na yanajiendesha na wanapata kidogo!

Mimi naamini watu kinacho watatiza kwenye hii sekta ni kodi kubwa isiyo kwenda na uhalisia wa soko na hali ya biashara!
 
Uhondo wa ngoma ingia ucheze
Watu humu waongo kishenzi yaani mtu atoe 30m hlf ndio atajiwe kodi kiasi gani yaani hii 30 anaitoajetoaje sijui ni kkoo gani tunayoiongelea humu tuna ndugu na marafiki tunajua kinachoendelea kkoo kwa sasa
 
Kwa sehemu ile na aina ya nyumba bei siyo kubwa. Sema wabongo wengi tumezoea ''nyumba'' za milioni ishirini. Nikuhakikishie kuwa nyumba nyingi tunazoishi hazina hadhi ya kuitwa nyumba. Nyingi ni muunganisho wa matofali na sementi na bati juu. Hakuna utaalam wowote kwenye kujenga.
Hizo nyumba nyingine ni muunganisho wa nini?
Maana nyumba ina gypsum, imepigwa lipu, ina tiles, imepakwa rangi, ina choo,

Unasema sio nyumba, hiyo nyumba yako au hizo unazozisema zina nini zaidi?
 
Shughuli za kiserikali zimehamia Dodoma. Sasa hivi Dodoma pamekucha

Haina mantiki. Dsm ndio jiji kuu la biashara hapa Tanzania. Linganisha (not literally) na New York, Shanghai, Lagos, Blantyre, nk. Shughuli za kibiashara katika majiji hayo zinashamiri ingawa serikali ziko kwingine.
 
Kuna siku niliwapigia simu wale jamaa wa Victoria Apartments kuhusu Ghorofa Lao [emoji3][emoji3][emoji2] Duuh eti single bedroom inagharimu 250 Millions [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sasa mtaaalam kukaa kwenye high end apartment kama zile 250 ndogo sana.pale imecalculatiwa vitu ving. insurance,vat,bei na eneo lile.ba huduma zinazopatikana bei ya kawaida sana mzee hio usiogope
 
Hivi kuna wale waarabu pale nilionaga wanatoa frame mpaka vyumba vya kulala, nikajiuliza wataishi wapi miaka ile
 
Opportunity Cost ameeleza vizuri sana. SEKTA BINAFSI ambaye ndie mpangaji kwenye majengo haya ameathirika vibaya na pia PURCHASING POWER ya watu imeshuka sana. Tukumbuke mwanzoni mwa awamu hii ya tano kuna hadi benki zilifunga baadhi ya branches zao, na hizo zilikuwa ni private banks. Mfano Benki zilizofunga baadhi ya matawi yao ina maana hayo majengo waliokuwa wamepanga kuna uwezekano mkubwa yalibaki matupu! Sio rahisi tena mtu kwenda kupangisha jengo lilokuwa na hadhi ya kutumika kama benki ikiwa hali ya biashara sio nzuri.
 
Kabisa mkuu. Kila mtu anataka kufanya biashara ya fremu. Mtu akiona amekaa barabarani anaweka fremu. Nadhani lukuvi ndio hajitambui. Maana kila sehemu ni soko
 
Back
Top Bottom