Records za Messi & Halaand 2022/23

Messi na Halaand kwa sasa ndo gumzo kwenye social medias kuhusu nani anastahili kuchukua Ballon D’or 2023. Angalia hizi records zao afu toa maoni yakoView attachment 2655438
Namkubali sana Messi, ila hebu aachie watoto chakula aisee. Siyo vizuri hivyo anavyotaka kufanya. Amesababisha Ronaldo aende kula tende bado tu hariziki?
 
Haaland ni mfungaji mzuri ila pale Man city tu sio Mchezaji bora why apewe yeye Baloon D or? By far De bruyne alikua bora zaidi na ni debate Rodri na Gundogan wana msimu mzuri pia. Kama kuna Ubishi uwe ni Messi vs De Bruyne.
Hata Messi sio mchezaji bora pale PSG,
 
Ila ana Claim world cup na Timu ya Taifa, Haaland timu ya Taifa ni kama hana score yoyote hata world cup ama Euro hawashiriki.
World Cup ni mechi 6 tu mzee, wakati mechi za ligi, uefa, fa ni karibia 60

Kipi kitumike kigezo? Mechi 6 au 60?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…