Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Messi na Halaand kwa sasa ndo gumzo kwenye social medias kuhusu nani anastahili kuchukua Ballon D’or 2023. Angalia hizi records zao afu toa maoni yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namkubali sana Messi, ila hebu aachie watoto chakula aisee. Siyo vizuri hivyo anavyotaka kufanya. Amesababisha Ronaldo aende kula tende bado tu hariziki?Messi na Halaand kwa sasa ndo gumzo kwenye social medias kuhusu nani anastahili kuchukua Ballon D’or 2023. Angalia hizi records zao afu toa maoni yakoView attachment 2655438
Wote hawastahili. Apewe Rashford
Apewe Haaland tu
He na uzee wote huu Messi anamzidi Haaland Kwa goal contribution?Messi na Halaand kwa sasa ndo gumzo kwenye social medias kuhusu nani anastahili kuchukua Ballon D’or 2023. Angalia hizi records zao afu toa maoni yakoView attachment 2655438
Naunga mkono hoja, au Messi vs Gundogan.Haaland ni mfungaji mzuri ila pale Man city tu sio Mchezaji bora why apewe yeye Baloon D or? By far De bruyne alikua bora zaidi na ni debate Rodri na Gundogan wana msimu mzuri pia. Kama kuna Ubishi uwe ni Messi vs De Bruyne.
Kabla kwenda marekani naona messi anachukua kwa mara ya mwisho hichi kiumbe kwenye WC kilikuwa kinazunguka sio poa
Jamaa alikua anatembea hatariWC Messi aliupiga mwingi sana, kama ile fainal [emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Hata Messi sio mchezaji bora pale PSG,Haaland ni mfungaji mzuri ila pale Man city tu sio Mchezaji bora why apewe yeye Baloon D or? By far De bruyne alikua bora zaidi na ni debate Rodri na Gundogan wana msimu mzuri pia. Kama kuna Ubishi uwe ni Messi vs De Bruyne.
Hata Messi sio mchezaji bora pale PSG,
Ila ana Claim world cup na Timu ya Taifa, Haaland timu ya Taifa ni kama hana score yoyote hata world cup ama Euro hawashiriki.Hata Messi sio mchezaji bora pale PSG,
World Cup ni mechi 6 tu mzee, wakati mechi za ligi, uefa, fa ni karibia 60Ila ana Claim world cup na Timu ya Taifa, Haaland timu ya Taifa ni kama hana score yoyote hata world cup ama Euro hawashiriki.