Records za Messi & Halaand 2022/23

Records za Messi & Halaand 2022/23

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Messi na Halaand kwa sasa ndo gumzo kwenye social medias kuhusu nani anastahili kuchukua Ballon D’or 2023. Angalia hizi records zao afu toa maoni yako
IMG_1286.jpg
 
Messi na Halaand kwa sasa ndo gumzo kwenye social medias kuhusu nani anastahili kuchukua Ballon D’or 2023. Angalia hizi records zao afu toa maoni yakoView attachment 2655438
Namkubali sana Messi, ila hebu aachie watoto chakula aisee. Siyo vizuri hivyo anavyotaka kufanya. Amesababisha Ronaldo aende kula tende bado tu hariziki?
 
Haaland ni mfungaji mzuri ila pale Man city tu sio Mchezaji bora why apewe yeye Baloon D or? By far De bruyne alikua bora zaidi na ni debate Rodri na Gundogan wana msimu mzuri pia. Kama kuna Ubishi uwe ni Messi vs De Bruyne.
Hata Messi sio mchezaji bora pale PSG,
 
Back
Top Bottom