Rege Jean Paige: Mwanaume handsome duniani

Rege Jean Paige: Mwanaume handsome duniani

Mzee Kigogo acha makasiriko.

Macho mengine sio lazima yarembuliwe yanarembukaga yenyewe.

Ila raha ya mwanaume ni awe na macho makali. Yaongee tu yenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji87][emoji87]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani mwenye picha ya William levy aiweke hapa tuone nani zaidi.

Anyway, kwangu mwanaume handsome ni mrefu na pesa na kunijali hayo mengine ta kwenu.
Levy
20220329_145041.jpg
 
Anaitwa Rege Jean Page ni raia wa Uingereza.

Amezaliwa 1988 ana miaka 34. Ni muigizaji.

Ameigiza muvi na tamthilia nyingi ila tamthilia iliyompa umaarufu ni bridgerton, aligiza kama Duke of Hastings (Simon basset). Inasemekana kuwa Rege ndo James bond anaefuata. Huyu ndo mwanaume handsome na mwenye mvuto kuliko wote duniani.


Aa wapi 🤣
 
Mara nyingi wazuri wanakua na vitabia vibaya, na ambao sio wazuri wanatabia nzuri
 
Back
Top Bottom